Search results

1. T

Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

Kwa ufahamu wangu hiki unachoshauri ndicho kitakachofanyika
2. T

Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

Labda sio plastiki lakini nadhani pia sio mchele wa kawaida!
3. T

Nimempa mimba mama mkwe wangu

We mweleze huyo mama mkwe kwamba wewe ni mkwe wake. Akijua hivyo hilo la mimba atalitatua yeye fasta.
4. T

Serikal yaongeza mishahara ghafla?

Habari yenyewe ni kama ilishatolewa siku nyingi halafu mwandishi kai retrieve na kuitoa upya. Maana nashangaa watu inaowa quote k.m waziri Kombani, hivi wame comment leo kwa issue ya iliyopitwa na wakati?!
5. T

Serikal yaongeza mishahara ghafla?

Gazeti linaeleza kuwa nyongeza ni kwa waraka wa mwezi Julai. sina hakika lakini nahisi si ntongeza mpya ila ni kitu kilishafanyika ila gazeti limeandikwa habari iliyopitwa na wakati. Ni mtazamo wangu.
6. T

Msaada: Nahitaji Farasi kwa ajili ya sherehe za ndoa yangu.

Unataka kununua kabisa au kukodi kwa muda? najua pale SUA Morogoro wanakodisha, bei sijui.
7. T

Ya ITV & RFA NA TANGAZO LA KULAZIMISHA NGONO...

Umaskini unatupeleka pabaya maana ayo matangazo ni kwa hisani ya wamarekani.Kwa ujumla ninakosa amani na vyombo vyetu vya habari ninapokuwa na watoto au watu ninaoheshimiana nao maana sijui nini kitakuja baada ya muda(unpredictable).
8. T

Msaada Laptop hai detect Camera

Nashukuru kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi. Cable nimejaribu 3 tofauti zimegoma. Nitakuja na majibu.
9. T

Msaada Laptop hai detect Camera

Hivi karibuni Laptop yangu hai detect Sony Camera yangu kwa kutumia USB cable ambapo siku za nyuma ilikuwa ina detect. Kuna picha nataka kuzihamisha. Nimetumia card reader pia lakini sijafanikiwa kuziona picha. Kwenye camera picha zinaonekana. Naomba msaada nifanyeje. Kuna picha nisingependa...
10. T

Kijana apiga mbizi kutekeleza agizo la Magufuli!

[QUOTE=Jason bourne; Kutokana na taratibu za kiusalama imebidi tumchukue kwenda nae makao makuu kwa kinachonishangaza ni kukamatwa kwake! why? Kwa kiyo nikipita kongowe kwa sababu yoyote nitakamatwa pia? Au lazima sababu iwe kukosa sh. 200 ndo mtu anakamatwa. Hivi Magufuli ulikuwa na maana...
11. T

Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

Asante sana kwa taarifa hii muhimu sana: 1. Imetuondolea wasiwasi na sintofahamu iliyokuwa imetanda 2. Imefunua mengi hasa juu ya udhaifu wa hospitali ya Agakhan-kwamba pamoja na kurudia vipimo ilishindikana ku detect Malaria! 3. Imeondoa maswali juu ya hospitali yetu ya taifa: kwamba...
12. T

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Mi naenda kulala, matokeo nitayasoma kesho kutwa.
13. T

TB Jshua ndani ya Ikulu Dar!

Kimataifa inatambulika nchi moja ambayo ni Tanzania na ikulu yake iko Dar na sio Zanzibar
14. T

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Nadhani ni "ball pocession" i.e kumiliki mpira.
15. T

Mbeya kwalipuka kwa vurugu

bila shaka askari wamehamasishwa na chama cha magamba maana serikali yake ni ya hamisha hamisha na mkong'oto.
16. T

Mavazi yanayoonyesha maziwa hayakubaliki.

You must conform to a particular mind set to conform to such styles.
17. T

Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

Regina Mwalekwa nadhani kapotea njia. ile si aina ya redio inayomfaa, Radio one ndo ilikuwa mahali pake.
18. T

Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

Labda kwa matumaini ya mabadiliko hayo ya serikali, otherwise serikali hii siamini kama ina nia ya kumaliza tatizo la umeme.
19. T

Mradi wa Viwanja vipya - Kinyerezi

Mh! Tutaishia skwata tu!
Back
Top Bottom