Search results

  1. msambinungwa

    Hivi hii ni kweli jamani?

    Akunaukweli Atakidogo.
  2. msambinungwa

    Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

    asante wng,bt umesema ipi kati yaizi:easy wax,hair removal,vett au iyocream?nisaidie jinakamili.bt iyo vett nilinunua ikanishinda au nilikosea matumizi,nisaidie plz.
  3. msambinungwa

    Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

    iyo LASER ndionafanyajwe? naweza patawap? nani sh ngap?nisaidie mkuu maana nikelo kwangu,kibaya zaidi naharusi ijumaa so natakiwa niwesafi.
  4. msambinungwa

    Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

    Habari zenu wakuu, Naomba kujuzwa njia au dawa yakutoa vinyweleo mwili mzima ikiwemo sehemu nyeti. Nifahamisheni tafadhali.
  5. msambinungwa

    Tarehe 23/1/2015 harusi yangu

    Heri ya mwaka mpya wapendwa. Napenda kuwakaribisha kwenye harusi yangu kiroho safi, ifikapo tarehe tajwa hapo. Itafanyika Mwanza ukumbi wa bwalo la jeshi. Karibuni sana.
  6. msambinungwa

    Naitaji mtoto jamani.

    ntra uterine Contraceptive device) hii inaweza kuzuia mimba mpaka miaka kumi...NA Hakikisha unafanya tendo la ndoa frequently na kwa kutumia timing za calendar... Ikipita 12month hautumii contraception,tendo la ndoa unafanya frequently na mwenza wako basi hapo tutasema una tatizo au mwenza wako...
  7. msambinungwa

    Naitaji mtoto jamani.

    Jamani nimani sinatatizo atakidogo, lakini sijashika mimba mwezi wa4 sasa, imflazone nimemeza.niambiani basi.
  8. msambinungwa

    Msaada

    mpe maji yaliosafi nasalama,chemsha yapate joto kwambali,fanya kumpa vjikiko v2 mara3.utapata matokeo.
  9. msambinungwa

    msaada kuhusu INFLAZONE.dawa yaujauzito.

    Nieleweshe nilipokosea ilimaranyingine nisirudie kosa.dk aliniambia nimeze nikimaliza kabisa bleed,ndivo nilivo fanya.
  10. msambinungwa

    inflamazone jamani.

    kuwahi kiaje jamani?nielimishe mkuu.
  11. msambinungwa

    inflamazone jamani.

    abari wakuu,nisaidieni.leo siku yatano namalizia,je? tapata majibu mwezi huu?
  12. msambinungwa

    msaada kuhusu INFLAZONE.dawa yaujauzito.

    habari ya mapumziko wataalam.mimi natakakujua kuhusu infazone,nime meza leo namalizi cha 5,je nitege mee kushika mimba lini? 2:naona majimaji lakini yananukia vidonge, je?nikawaida kwakua nimemeza iyodawa?leo siku ya 10 tangu nilipoingia mwezini. ni.karibuni.
  13. msambinungwa

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Habari wakuu: Nisaidieni, nilifanya tendo la ndoa na mume wangu siku ya hatari ilikua tarehe 1 / 11, Je nipime baada ya muda gani kujua kama nimenasa?
  14. msambinungwa

    Weusi wakwapa na sehemu nyeti, anayejua dawa ya uhakika njoo

    jamani ndugu zangu ilitatizo linanitesa kwamuda mrefu sinaamani,mimi nimweupe lakini kwapa nasehemu ... ni peusi lakini nipasafi kwani nafanyausafi kilamara.nisaidieni dawa yauhakika nimeshajalibu ndimu,limao lakini wapi. nisaidieni.
  15. msambinungwa

    Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

    dawa nikujuaratiba yake2 tena usimchekee,ukifanyaivo ataukiibiwa ni dk5tu.
Back
Top Bottom