Search results

  1. TUMBOO

    Ugonjwa wa P.I.D kwa mwenza

    Sio kwakujamiiana tu....kwa sisi wanawake inatokana na aina ya pedi tunazotumia sasa ndio imekua chanzo kikuu....na mwanamke anapofua chupi kuanika ndani nayo inasababisha sana usije ukamuacha mwenzi wako bure ukizan anakusaliti
  2. TUMBOO

    Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

    Ila wanaume wenye tabia yakuingilia watoto wakike wakiwa wadogo mtaenda mbinguni mmchoka sana ...ni wengi sana wenye tabia hiyo
  3. TUMBOO

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Sawa best frend ushauri wako ni mzuri sana....mwenzio kausikia na aufanyie kazi
  4. TUMBOO

    Car4Sale Toyota crown inauzwa namba EAA

    Sasa si unapiga simu then unaongea bei muuzaji aabgalie kama ataafiki
  5. TUMBOO

    Car4Sale Toyota crown inauzwa namba EAA

    Hakuna dalali hapo
  6. TUMBOO

    Car4Sale Toyota crown inauzwa namba EAA

    Toyota Crown inauzwa Crown 2004, Km 97,000 Pearl Cc 2590 14.5 m Kuiona piga no 0655859933 Ipo Dar
  7. TUMBOO

    Kwa tuliopitia machozi, jasho na damu katika ukuaji wetu

    Mtoa mada hapo hatujakuelewa tudadavulie na hapa inakuaje na wakati unasema hujalelewa na mamaako https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1947611/
  8. TUMBOO

    Tumieni tango na limao kujifukiza hasa unaposikia homa

    Hakikisha unatumia matango mawili na malimao mawili
  9. TUMBOO

    Tumieni tango na limao kujifukiza hasa unaposikia homa

    Ndio uliitumia asubuhi na jioni unatumia hiyo hiyo ...siku mpya inapoanza unanunua matango namalimao mapya isilale
  10. TUMBOO

    Tumieni tango na limao kujifukiza hasa unaposikia homa

    Endeleeni kutumia tango na limao kujifukiza hali ni mbaya
  11. TUMBOO

    Nimeguswa sana na maoni ya wanaJF kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Basi tusubirie muda ndio unaoongea...kawaulize libya sasa
  12. TUMBOO

    Nimeguswa sana na maoni ya wanaJF kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Ulichoongea ni ukweli mtupu mkuu....acha watu wafurahi kwa sasa lakini muda unakuja tutalia na kusaga meno tukimkumbuka .....hapo ndipo tutatamani afufuke.....
  13. TUMBOO

    Tumieni tango na limao kujifukiza hasa unaposikia homa

    Mjifukize jamani hali ni mbaya leo nmekuta baba mmoja kadondoka anatetemeka
  14. TUMBOO

    Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

    Corona ya sasahivi si kama ya mwanzo haisazi mtoto,mzee, wala kijana
Back
Top Bottom