Search results

  1. Real One

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Hizi akili za kijinga ndio zinasababisha baadhi ya jamii hapa Afrika zizidi kubaki kwenye umasikini
  2. Real One

    Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Ushauri huu unawafaa wanaume dhaifu na wenye mapungufu. Mwanaume kamili hawezi kukubali huu ujinga, Mwanamke anaangaliwa past yake na mwanaume anaangaliwa future yake.
  3. Real One

    Nyie watanzania ni lini mtaacha tabia zenu za kibaguzi dhidi ya wahitimu ya digiriiii?

    Tuongezeke mara 100 tena mkuu tutatosha....? Ila naunga mkono hoja nchi yetu population ipo sawa kabisa shida ni illiteracy rate tuna kundi kubwa sana la wajinga.
  4. Real One

    Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Atakuwa alikuwa jela, jela chaneli ni tbc tu
  5. Real One

    Uzalendo unalipa sana Nyerere, Sokoine na Shujaa Magufuli wako wanaishi Mioyoni mwa Wananchi!

    Una umri gani? Kama umezaliwa kuanzia mwaka 2005 sio kosa lako ni utoto tu unakusumbua! Magufuli ni wapi alishika risasi na kumpiga Alphonce Mawazo? Alphonce Mawazo kada wa chadema aliuawa na wanaccm kwa kupigwa na vitu vizito na kuchanwa mapanga baada ya ugomvi kutokea kwenye kikao cha chama...
  6. Real One

    Tusinunue vitu Used jamani

    Dunia imepinda sana siku hizi huku uswahilini kwetu kitoto hata kubleed hakijaanza tayari kishatolewa bikra. Gari ya mwaka 2003 odometer inasoma 1600000 mileage na ishatembea sana rough road huku service ikizingatiwa kwa kiwango kidogo sana huku wewe ukiwa owner wa 31 unaoa halafu unaibandika...
  7. Real One

    Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    And vice versa is true
  8. Real One

    Kama unataka kuoa single maza pitia hapa

    Kama mtu anafika mpaka chuo na anakuwa bado hajajitambua basi huyo hawezi kujitambua milele, mtoto wa darasa la saba tu anajua madhara na matokeo ya ngono zembe.
  9. Real One

    Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Wakubwa wanapima umahiri wa silaha zao na kwenye vita ndio sehemu sahihi ya kupima mapungufu na ubora wa silaha zao ndio maana makamikaze, himars, shaheed yanatumika huko
  10. Real One

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Mtazamo wa kuhamisha makao makuu ya serikali kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma ulikuwepo tokea kipindi Tanganyika imepata uhuru na hayakuwa tu ni mawazo ya Nyerere. Sababu zilizopelekea Nigeria kuhamisha serikali kutoka lagos kwenda Abuja ndio hizo hizo zilizopelekea serikali ya Tanzania...
  11. Real One

    Tunaipokea treni ya mchongoko kwa shingo upande, ni kama ile ya zamani imechongwa kimchongo

    Wabongo wanataka vichwa vya train za HSR vifungwe kwenye reli ya SGR
  12. Real One

    Mbwa anauzwa 300k

    Sio bleed ni breed
  13. Real One

    Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Kama mtu kwao kuna dada, shangazi au mama zake masingle maza tena zaidi kila mtoto na baba yake na anatushauri tusioe masingle maza..... Huyo mtu anapaswa kusikilizwa na anachokisema kiheshimiwe kwa sababu anaongea kutokana na experience
  14. Real One

    Mbwa anauzwa 300k

    Hivyo vimbwa vya maabara kwa ajili ya urembo havina madhara
  15. Real One

    Kijana usioe/kuolewa na mtu anaenyonya sehemu za siri

    Kwahiyo unataka ukanyonye shahawa za mtoa mada!!
  16. Real One

    Tatizo la Ethiopia ni nini hadi raia wake kuikimbia nchi yao kwa mamilioni?

    Uchumi wa watu ndio nini acha kukariri hakuna nchi yoyote hapa afrika mashariki inayoikaribia Ethiopia kwa lolote kuanzia iq, gdp, population, purchasing power, infrastructures nk. Kinachowakimbiza waethiopia kwao ni majanga ya asili kama ukame yanayopelekea njaa na kingine ni damu tu ya...
  17. Real One

    USA yaamua kuzuia Mtandao wa TikTok

    TikTok haijasambaa USA!!? Una uhakika na ulichokiandika.... tokea mwaka 2021 TikTok ndio mtandao tishio zaidi kwa ukuaji marekani
  18. Real One

    Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

    Mbona ashatoka zaidi ya mara moja 2019 top walikuwa ni Dimitri Vegas na like mike hata 2020 alikuwa mdutch armin van buuren 22 na 23 na yenyewe sidhani kama alikuwa namba moja. Ila 2016 chainsmokers walifanya poa sana ngoma kama closer, Don't let me down, sick boy zilikuwa za kibabe
  19. Real One

    Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

    Hata wewe ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwanini urusi kaingia kwa asilimia kubwa kwenye nchi zinazoongea kifaransa na kwanini nchi hizo huwa zinaongoza kwa umasikini na machafuko. Na kwanini ufaransa ndiyo nchi inayochanganyikiwa zaidi na ushawishi wa urusi Afrika.
Back
Top Bottom