Search results

  1. M

    Naombeni mawazo ili niweze kupata mkopo

    Jawi mi nikiwaga na shida iwe ni Tcu ama Heslib, huwa nawaibukia hewani moja kwa moja bila chenga! Simu wanapokea labda tu wawe bize na mambo mengine!
  2. M

    Naombeni mawazo ili niweze kupata mkopo

    Piga simu Heslib zungumza nao usikie maneno kutoka kwao. nadhani wanaweza kabisa kufungua ukurasa mpya kabisa kwa ajili ya mafanikio yako.. +255 22 2669039 Jiunge tu na kakifurushi ka kwenda mitandao yote kisha kong'oli kabisa mwana wane! Usiogope kuongea nao.
  3. M

    Unapenda kuvaa chupi ya rangi gani?

    duh! kumbe gilesi alianzia mbali sana aisee!
  4. M

    Ujio wa Iphone 6 November mosi

    mkuu una maana gan hapo kwenye red?
  5. M

    Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    ila mkuu sijawahi ona nafasi zake za kazi, unasemaje hapo??? ama imelalia katika kujiajiri tu?
  6. M

    Natafuta kazi

    ushajiuliza hao wanaolima toka mwanzo wako wapi mpaka sasa? mkuu elimu ina umuhimu mkubwa sana katika kuleta mabadiliko katika nyanja zote za PESTEL, kumbuka lengo la elimu ni nini hasa, elimu si ajira!!
  7. M

    Kuvunjika kwa kundi la vichekesho la Orijino Komedi

    Wapi wamesaliti mkuu? labda mimi ndio sijui maana ya usaliti...
  8. M

    Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    mkuu hii course uzuri wake ni nini?
  9. M

    Wivu: Mume amfungia mke ndani miaka mitatu mfululizo

    Miaka yote mitatu hata kelele hamna jamani? mbona kafa kifo kibaya kama wafuasi wa kibwetere? Sidhani kama nyumba hiyo haikuwa na madirisha, milango, wala majirani hawakuwep karibu? Huyo mwanamke hakuwa na ujasiri huo kweli? wataalamu wa masuala ya njaa wanasema kuwa 'an angry man has no...
  10. M

    Kabla ya ndoa mambo huwa hivi

    aliyesema watanzania wana IQ ndogo alimaanisha nini? I laughed...
  11. M

    ushauri naombeni

    UNATAKA COURSE YA MPENZI MANAGEMENT? hebu Karibu kumkaushia kama wiki hivi..... no phone call, texting, hugging, bling bling na maskio silo mengine! dakika nanikuambia, Atarudi tu kwenye system kama kweli anakupenda
  12. M

    Mission Town. Jinsi ya kula hoteli za gharama ukiwa mifuko imetoboka

    Aisee! Kumbe kuna watu mnakula mitaji kila siku?
  13. M

    Dangote Made $9.2 Billion In 2013; Ranked 30th Richest Person In The World

    Mkuu huoni kama Senior Boss katania ndani ya brackets?
  14. M

    Mtaji Wa Tsh300,000

    Anza biashara ya kilimo.. Nunua mashine ya moneymaker water pump kwa ajli ya umwagiliaji, lima angalau ekari 2 zak kuanzia, nunua mbegu bora za kupandia e.g pannar.. Tafuta eneo lenye chanzo cha maji cha kudumu, anza shughuli za kilimo rasmi.. Au... Fanyya utafiti juu ya ununuzi wa...
  15. M

    Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

    location iwe gambushi aisee..
Back
Top Bottom