Search results

  1. Causin

    Sometimes, love just aint enough

    pole sn buswelu,but kaa ujifikirie na wewe pia,are treating her right?are you truly and honest to her,then if not,start by treating her like a lady,u will see how she will be,if u think its hard that place,if find another one might be more worse!
  2. Causin

    Raha ya mapenzi ni wakati gani?

    Asanteni jaman kwa hoja zeni,ila nimegundua kitu swali halikuwa vzr sana,ila all in all nimeelewa. Kuna tofauti ya raha ya mapenzi na tendo la ndoa,japokuwa tendo la ndoa liko ndani ya mapenzi,So nimewapata.
  3. Causin

    Raha ya mapenzi ni wakati gani?

    Lakini safari,mwisho wa yote ni nini?
  4. Causin

    Raha ya mapenzi ni wakati gani?

    okay FL1 nimekupata sn tu,bt kwa upande wangu naenjoy zaidi pale kwenye matachitachi na makiss
  5. Causin

    Raha ya mapenzi ni wakati gani?

    sasa mbona watu wakifika huko afu inakuwa kama wameshachokana vile?
  6. Causin

    Raha ya mapenzi ni wakati gani?

    Habari zenu wana jamii, Jaman naomba kuuliza eti raha ya mapenzi unaisikia wakati gani,ni wakati mnakiss na taching au wakati wa tendo lenyewe?
  7. Causin

    kwa nini wanawake hupendelea kuvaa bikini zaidi

    duh kwa kweli me mwenyew nlishashinda cjickii kuwa confortabe na kale kamkanda kipita pale katikati,may be mara mojamoja sn. ila nafikiri sio kwa ajili ya kuvutia sn,kinachovutia ni wewe mwenyewe na sio bikini.
  8. Causin

    Hivi hii ni normal au nina tatizo?

    The boss,kama hao wake za watu wanakupa mapenzi zaidi ya huyo wa kwako,lazima utaona wivu tu,jaribu kukaa na galfrend wake muda mwingi na kuwa wazi kwake,unapenda akufanyie nini! O'wise kupenda mke wa mtu au mume wa mtu ni normal,ila solution ni kujicontrol!
  9. Causin

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Duh,hii kazi kwelikweli ila huyu dada ndo anafaa,kwasababu cku ingine jamaa ataogopa kudanganya
  10. Causin

    Found a real love when its too late.

    Jamani mimi naona mjadala huishie hapa kama ni ushauri niliotaka nimeupata,na nitaufanyia kazi,manake naona sasa naona ckuomba ushauri tu na kashfa pia. NILIKUWA NA MAANA YANGU KUWEKA HII THREAD HIVI ILI NIONE MNATOAJE USHAURI WENU NA NDO MAANA NLIKUWA CJIBU CHOCHOTE. Nimegundua kumbe ndo maana...
  11. Causin

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Sasa FL nikijitosa wakati nimeshaona dalili ya mvua ni mawingu,itakuwaje akiingia ndani.Yaani kumuomba Mungu tu tufike salama,na tuwaendee kwa utaratibu coz ndivyo walivyo.
  12. Causin

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Lakini mbona sioni wanaume wakichangia katika hii mada? naona wanawake ndo wengi na wakati thred hii ni kwa ajiri ya mens hasa? Nyie wanaume mko wapi? ina maana mnaona hii ni sawa tu. Jamani hebu jitokezeni mseme kwa nini mko hivo?
  13. Causin

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Pole sn mpnz,yan mbona me hata naogopa,yan hapa nlipo tu kama boyfrend na girlfrend ni kazi,sasa nikiingia huko itakuwaje? yan hawa wanaume hawakumbuki hata kama wametoka kwa mtu anitwa mwanamke?,kwanini wasituheshimu jamani? Mimi nam-appreciate sn mwanaume anayemheshimu mke wake/mpenzi wake...
  14. Causin

    Hea katingi saluni

    Real african,tena nahisi hawa ni wa kule kggn kwetu ninapotoka,asili yangu kabisa.
  15. Causin

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    Inakuwaje wanajf? Jana nimetoa thread yangu hapa,ninashukuru kwa ushauri wenu,na ninaamini utafanyiwa kazi. Leo nimekuja na nyingine ila kwa upande wa pili. Nina rafiki angu wa kike ambaye alikuwa na boyfriend wake kuanzia form five,wamemaliza form six wote huyo kaka akapata sponser ya kwenda...
  16. Causin

    Found a real love when its too late.

    Nimekupata tete na ndo maana nliomba ushauri wenu,ila sasa mambo ya shauri yangu yanatoka wapi?
  17. Causin

    Found a real love when its too late.

    Na wanaume wa kibongo wakoje? na huyo wa kwako ni wa kichina au?
  18. Causin

    Found a real love when its too late.

    Taratibu tete,nakupata afu maneno yako mbona makali sn,nlikuwa nahitaji ushauri wako sasa mambo ya shauri yangu tena mbona bado mapema.
Back
Top Bottom