Search results

  1. Masamila

    Vodacom naenda mahakamani

    Haya mambo hata kwangu yametokeaga tena hawa hawa Vodacom
  2. Masamila

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Hata 1956 haiwezekani sababu itamaanisha kwamba JWTZ walimpa nyota Mwamunyange akiwa na umri wa miaka 17 kuweka rekodi sawa JWTZ ukiwahi sana kupata nyota katika umri mdogo ni ukiwa na umri wa miaka 21 hapa unakuwa umejitahidi sana kuwahi kupata nyota
  3. Masamila

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Mkuu haiwezekani 1959 kuwa ndio mwaka aliozaliwa jenerali mstaafu Davis adolf Mwamunyange, Mwamunyange amepewa nyota yake ya kwanza JWTZ mwaka 1973 batch moja na luteni jenerali Abdurahaman Amir Shimbo Abdurahman Amir Shimbo na Davis Adolf Mwamunyange wameingia kwa pamoja vyote viwili yaani...
  4. Masamila

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bado sijakuelewa mkuu yaani inamaana unamaoni ya kuwa LFC imuuze Luis Diaz ama?
  5. Masamila

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Well said KOP captain Marvelous
  6. Masamila

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

    Kwenye pesa binadamu tunakuwaga maadui yaani hata ndugu sio wa kumuamini muda mwingine
  7. Masamila

    Mateso na kufeli kwako ukiwasimulia Hufurahi mioyoni mwao; Mafanikio yako huwachoma

    Master Robert Heriel Mtibeli kazi nzuri sana hii kutoka kwako Taikon wa fasihi
  8. Masamila

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Varane?!!
  9. Masamila

    Ukubwa wa Bajeti za Mataifa ya Afrika Mashariki

    Kenya wanakusanya kodi zaidi ya trillion 60 za kitanzania
  10. Masamila

    Ukubwa wa Bajeti za Mataifa ya Afrika Mashariki

    Hiyo ya Kenya itatekelezeka kwa zaidi ya asilimia 90 maana ndio ukusanyaji wao wa kodi kwa hiyo figure
  11. Masamila

    Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Mule mule yaani huku makambini bakabaka ndio shughuli zetu hizi makapera kufyeka nyasi tukisimamiwa na maafisa
  12. Masamila

    Supu mapupu, Kichwa Mbuzi Kiria Bar na Euro Pub

    Beer asubuhi mkuu ndio maana tunakufa masikini sasa akili itafanya kazi saa ngapi kama mtu analalia pombe anaamkia asubuhi na mapema pombe tena
  13. Masamila

    Sakata la bandari, Bunge limetoa onyo la mwisho kwa wanahabari kuhusu upotoshaji

    Mkuu Fundi Mchundo high gpa ya law llb degree tena Udsm unakuwa sio genius? Huyo mwanamke ni genius mkuu ukianzia vyeti hadi in real life
  14. Masamila

    Sakata la bandari, Bunge limetoa onyo la mwisho kwa wanahabari kuhusu upotoshaji

    Mikwara na spika ? Tuwe tunasoma kujielimisha Huyo mama ni genius na nguli wa sheria on top of that ni spika sasa ambao elimu imewapiga chenga lazima watalichukulia bunge poa kimamlaka
  15. Masamila

    Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

    Umemshusha hadhi afisa mahiri sana kuwahi kutokea wa tanpol
  16. Masamila

    Aliyemtukana Mwita Waitara atumbuliwa Ukuu wa Mkoa Mara

    Okay Mbuge yupo kwenye appointment za kiraia nadhani ni maafa kama sikosei
Back
Top Bottom