Search results

  1. Paje

    Katazo la serikali kuhusu matangazo ya tiba asili/mbadala

    Hii ni siri kali sio serikali. Mbona akili zaidi ni kuweka mazingira salama ya kuepusha hao matapeli wanaowakudia kuwa knock out.. Matokeo yake wananchi wananyimwa haki ya msingi. Kama kule ulaya viongozi huwa wanalelewa tokea shule kwa watoto wanaoonesha vipaji vya uongozi na uwezo wa...
  2. Paje

    Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    nukuu chanzo cha hizo data tafadhali
  3. Paje

    Nimefanya mapenzi na msichana mwenye UKIMWI

    subiri kufa na kuenda motoni
  4. Paje

    Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

    mbinu za mkuu wa Tume kuanza kutangaza matokeo ya ngome za CCM mwanzo ndio zimekuhadaa?? Cuf imeshashinda kwa ushindi mkubwa sana. BAdili kauli yako hiyo.
  5. Paje

    Wino wa kuhakikisha mtu aliyepiga kura unakausha na kupasua vidole

    ukiweka vidole kwenye dawa ya kutolea madowa ya jic na kusugua kidogo tu. wino unapotea faster
  6. Paje

    Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Tupe majibu basi tuone uelewa wako ....
  7. Paje

    Begin your webhosting Company with Zpanel

    website ishakufa nini?? mbona nimeona Zabeel Ladies Club Zabeel Ladies Club
  8. Paje

    Begin your webhosting Company with Zpanel

    latency=delay latency ndogo hiyo ndio kitu kizuri sana. it means delay ndogo latency kubwa ndio tatizo.... let us hope umekusudia latency kubwa katika maelezo yako ya hapo juu. Latency: Latency is delay. Latency is how long it takes data to travel between its source and destination...
  9. Paje

    Lowassa akipata urais kupitia UKAWA tutarajie nini ndani ya CCM?

    kwa nini mtu aliyewahi kufungwa jela haruhusiwi tena kufanya kazi serikalini?? hata kama atabadilika??? fikiria jibu kwa undani zaidi halafu fikiria na skendo alowahi kufanya huyo simba wako alipokuwa ccm na skendo za magufuli alipokuwa huko CCm
  10. Paje

    Lowassa akipata urais kupitia UKAWA tutarajie nini ndani ya CCM?

    yeye EL ametokea wapi? ndio wale waleee
  11. Paje

    Angalizo: Wale mnaotumia SMADAV kama Antivirus za PC zenu

    mie natumia smadav pekee kwa mwaka wa pili huu sasa. hata sijapata virus wala kupoteza files zangu. muhimu zaidi nilogundua ipo light weight. haiiumizi processor. ipo sawa saaaana
  12. Paje

    Kukaa karibu na minara kuna madhara yoyote ?

    Madhara yapo tena makubwa. ukiwa karibu na mnara radition zinazokupiga ndio zinasababisha cancer. unatakiwa uwe distance ya angalau mita 12 ambapo tunaweza kusema energy yake huwa imepungua. lakini si kila mita 12 utakuwa safe.... no.... inategemea na power ya huo mnara unavyo radiate. kule...
  13. Paje

    Hackintosh OSX ndani ya PC

    [Guide] Creating OS X USB installer using a Windows PC only - Tutorials (The Genius Bar) - InsanelyMac Forum
  14. Paje

    Basi linalotumia kinyesi lazinduliwa

    wengi wetu hatujailewa mada. tumezingatia kichwa cha habari tu tukatoa maoni. sio kama abiria wanapanda humo na kutoa kinyesi ambacho kinawezesha gari hiyo kuenda bali hutumia gesi itokanayo na maji taka , yanachujwa na kutengenezwa bio gas. lina mtundi wa gesi. halina vyoo kama lilivyochorwa hapo
  15. Paje

    Tatizo la GPS kwenye Tecno H5, naomba msaada

    kuna mshkaji akiweka lain ya zantel no problem lakini akiweka airtel tu Gps inaanza kujiwasha na kila ukiizima inawaka. jee is it safe to say that airtel sim card has all to do with this mess???
  16. Paje

    Rushwa ya kutisha Zanzibar Revenue Board - Zanzibar

    kitengo cha kuzuia rushwa si kipo kaka?? mbona unaripoti hapa
  17. Paje

    Tatizo la network kwenye Sumsung galaxy S3 naomba msaada

    Umenunua bei gani hiyo? kweli ni samsung galaxy S3 au feki yake? kama ni fake yake uliwahi kuiformat au ku restore factory settings??
  18. Paje

    Nichukue laptop ipi kati ya hizi ?

    hiyo ya 4GB ram ujue only 2GB ni usable. nazijua mimi laptop hizo
Back
Top Bottom