Search results

  1. P

    sad:: mwendesha baiskeli akutana na simba selous

    Simba wengi sana selous especially maeneo ya morogoro vijijini hasa dutumi na maeneo ya kisaki ambapo mbuga za selous na mikumi zinakutana. Mwaka juzi tulipata shida sana dutumi wakati tunafanya survey ya umwagiliaji dutumi, simba walimjeruhi vibaya sana mwenzetu, pamoja na nyati. Next week...
  2. P

    Mashehe vs. Maaskofu: Tumegawanywa, Tukagawanyika

    Iliposemwa siasa isichanganywe na dini watu wengi hawakuelewa maana yake. Sasa tunaona maaskofu wakisema hiki, masheikh wanasema kile.kwa kifupi hakukuwa na sababu ya maaskofu kusimamia directly upande wa upinzani pia hakuna sababu ya masheikh kuisimamia serikali, yote haya ni malumbano ya dini...
  3. P

    Mkojo wangu..

    Ukipata mtu akukamue for 3 hours utakojoa mweupe
  4. P

    Dr. (PhD) Slaa Akishinda, Kikwete atakubali matokeo?

    Inawezekana ndugu. Halafu nchi hii hakuna wa kufanya fujo.puto tu likipasuka mbio pia wana jf ni mdomo tu lakini vitendo 00. Mmenenepeana kama maboko hata kukimbia mita 50 wengi wenu hamuwezi leo kapigeni kura tuonyeshe mabadiliko makubwa kwenye tanzania mpya. Muda huu naenda kwenye kituo changu...
  5. P

    Elections 2010 Ni kweli kikwete sio mdini?

    Mimi ni real chadema tena sio kama nyinyi mliodandia chama baada ya umaarufu, wengi wenu mlikuwa midomo juu 2005 mkishabikia ccm. Ghafla mmekuja chadema kwa ushabiki nafikiri hata kadi za uanachama hamna pia hata kadi ya kupiga kura hamna, kwa njia hii mnatuletea matatizo, kuna muda nikisoma...
  6. P

    Elections 2010 MHINDI Dandu akiri kumweka Kikwete MFUKONI!!

    President ni mtu wa juu sana please fuata utaratibu so kila mtu akiguswa tu kwa president, fuata procedures nenda mahakamani with envidence u' ll see. Halafu wapo mission ni nani/nini hizo ni christian and slaa sources hata kama kuna kitu siariaz ukitumia wapo mission,radio tumaini...
  7. P

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Hayo matusi yote ni kwa kuimba tu au mnatatizo lingine.tatizo binafsi la mtu mmoja lisilazimishe wote tuwe na mtazamo kama wako/wenu.mtu anaamua/anatenda kulingana na anavyoona inafaa regardless unakereka au unafurahi, ni kama nyinyi mliochangia huo ujinga wenu.mimi nilifikiri labda kuna problem...
  8. P

    Elections 2010 Dr. Slaa umebeep, watanzania sasa wamepiga!

    Uzuri wa upinzani wa bongo ni mabingwa wa kulalamika na kushindwa yaani baada ya oct 31 ccm itapokuwa imetoa kipondo, dr. Slaa atakuwa kama mrema, bingwa wa kushindwa. Kisiasa a\takuwa kaisha, hata sasa si unaona kila siku yeye na wenzake wanaongoza kwa kampeni za malalamiko na udini.
  9. P

    Wana JF Hebu Niambieni Hili

    chagua slaa kwa maendeleo ya makanisa
  10. P

    Utabiri wa ushindi wa chadema hadi ulaya

    Logo kubwa ,ipo siku itaingia ikulu. UMESHAKATA TAMAA SIKU IPI HIYO
  11. P

    Mume wa demu wangu wa zamani

    Wewe na huyo anayekushauri wote punguwani. Hiyo ishu ni ya kutuletea watu wenye hekima zetu hapa kakae na wazazi wako wakushauri upuuzi wako huo.
  12. P

    Ana Kilango Malecela na Jimbo la Moshi Mjini

    Kilango na wapiganaji wenzake watarudi bungeni kwa kura nyingi saaaana. Hamuendi majimboni kuona watu wanafanyaje.mfano mvomero ktk kura za maoni makalla amemshinda murad watu wakazira hali ikawa mbaya saaana. Jk akenda kama mar 2 hivi, nenda sasa hali shwari.kelele na jazba zinawaletea pressure...
  13. P

    Nimuonavyo Dr Slaa

    ushindi wa safari hii kwa ccm utakuwa wa kishindo kushinda chaguzi zote,kwani wajinga wachache kwa udini wao na umbumbu wao wa kutoelewa siasa inahitaji nini wameamua kuisaidia ccm kwa kueneza udini wao makanisani as if nchi hii ni ya wakiristo pekee. Haya tutaona kama hizo kura chache za baadhi...
  14. P

    Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

    Pole mzirai. Lawama si suluhisho kama kila kitu ni lawama tutaisha. Cha muhimu tuwajibike kila familia,kaya kupambana na mbu. ndani ya nyumba na nje ya nyumba mazingira yawe safi, then serikali ifikirie suluhisho la kudumu. I think DDT ikitumika vyema itapunguza saan kama si kuondoa kabisa...
  15. P

    Our Dear JWTZ!!!

    Majuha wataonea kila kitu muda huu wa uchaguzi.sijui mnawashwa na nini? Uliwahi kuona wapi habari za ndani ya jeshi(siri) zinawekwa kwenye mtandao, wewe na hao wagonjwa wa moyo wenzako na habari zenu za ****** mnatupotezea muda humu. Jaribuni kuleta mambo ya maana yenye envidence otherwise...
  16. P

    CCM si ya vijana!

    Oct 31 tutaprove nani mkweli
  17. P

    Kenya is more peaceful than Tanzania

    Kenya inaongoza kwa wizi,ujambazi,ukora,ufuska,ushoga,utapeli kila kitu nafikiri hizo data wametengeneza wao purposely, si hata kilimanjaro wanasema upo kenya.
  18. P

    Mwenyekiti wa CCM ajiunga Chadema

    Mwenyekiti wa kata? Ndio nini. Humu kuna wendawazimu nini" msitupotezee muda
  19. P

    Elections 2010 Beware, slow poison of religious bigotry is entering into Tanzania’s body politic!

    Hapo ndipo mnapokosea ndugu zangu,ccm wanatumia hiyo nafasi kushinda na kama unafuatilia vizuri kampeni hizi utaona watu wamegawanywa ktk dini, ilivyo sasa dk. Slaa anaonekana ameletwa na kanisa hiyo ni kazi ya ccm.na hali itazidi kuwa mbaya tunavyoelekea mwishoni. Inshort ccm wameshafanikiwa...
  20. P

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Check mwega/malolo-kilosa district kuna skimu ya umwagiliaji kule kitunguu inakubali saaana.mpaka mwezi wa nane 2010. Kitunguu gunia moja likiwa kijijini mwega 120,000-150,000. Hayo ni moja ya maeneo yangu ya kazi.
Back
Top Bottom