Search results

  1. erique

    1980's Stewart alikufa Maji Kinondoni bwawani na Antony Kamtawa alikufa maji Selender bridge, Zimamoto walishindwa 40 years tuko vilevile!

    Nimesoma ile shule ya msingi kinondoni. Tumechota maji ya kumwagilia maua ya shule kwenye hilo bwawa. Sikuhizi lile bwawa limekauka... zamani mvua ilikua inaponyesha maji yanajaa, bwawa linaungana na lile la upande wa pili huku nyuma ya mahakama.
  2. erique

    Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

    Huyo anaandaliwa kuingia kwenye nafasi za kisiasa. Kimsingi yeye ndiye anaekuja kuwa Rais baada ya m7.
  3. erique

    USHAURI: Nimepigwa na fundi, nimchukulie hatua gani?

    Pia, hizi square pipes kama ilivyo kwa chuma zingime, zinakuwa na quality tofauti. Zipo bomba nyepesi na zipo zile ambazo huwa zina mark nene kidogo ( nzito). Hizi nyepesi bei huwa inakua chini kuliko hizo zingine. Sasa ni vyema kujua fundi alinunua zipi.
  4. erique

    Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

    Hao hawafai, nadhani badala ya ALAF kampuni ya DRAGON ni bora zaidi. Kama yupo aliezeka kwa bati ya DRAGON kutoka kiwandani kwao akapata shida ashuhudie.
  5. erique

    Msaada: Siku za mnada wa mbuzi Vigwaza

    Kwala, unaenda ile barabara mpya inayojengwa kuelekea bandari kavu
  6. erique

    TBS na TFDA okoeni maisha yetu kwa kupima ubora wa unga wa mahindi na muhogo unaosagwa mitaani

    Hili jambo mi muhimu sana. Maindi pia huwekwa sumu ya kuzuia yasiliwe na wadudu, bilaa kuyasafisha vizuri kabla ya kuyasaga yanaweza kuleta madhara kwa binadamu.
  7. erique

    Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

    Niliwahi kununu godoro pale kwenye maonesho ya 77, jinsi lilivyonifanya, maonesho yaliofatia ya 77 niliwafata nikawaaambia ukweli kwamba magodoro yenu hayana viwango, povu likawatoka, nikawaacha hapo nikaondoka. Magodoro ya GSM ni uchafu tu
  8. erique

    Plot4Sale Nauza kiwanja Fukayose

    Hilo daraja ilikua njia ya zamani. Barabara mpya ya Msata imechepushwa na kuliacha hilo daraja kwa mbali.Kidomole, Makurunge na hata Fukayosi naona zinakua kwa kasi. Miaka michache iliopita eka moja hapo Fukayosi ilikua inauzwa laki 4 mpaka 5. Hivi sasa huwa naona matangazo eka moja ipo kwenye...
  9. erique

    Ubora duni wa viongozi wetu: Niko mjini Morogoro, MORUWASA ni mfano wa uongozi mbovu

    Jana nimepata kuona kwenye taarifa ya habari, kigogo wa Tanroad, amemvimbia RC wa DSM.
  10. erique

    Plot4Sale Nina shida: Nauza shamba langu heka 15 Bagamoyo bei ya kutupa

    Kitongoji gani? jina la mwenyekiti wq kijiji aliesaini mauziano anaitwa nani?maana kuna maeneo huko yana migogoro na NARCO.
  11. erique

    University of Dar es salaam: Mnavyowafanyia wanafunzi wa masters na PhD mnakiua chuo, badilikeni

    Pole sana kwa hii changamoto uliopitia. Machache nayoweza kuandika hapa ni haya: 1. Usijaribu kulinganisha utatatibu wa vyuo vingine ( nje ya nchi) na hapa Tanzania ( hasa UDSM). Kila chuo kinaweza kuwa na changamoto zake, na kwa ujumla wake vyuo vya wenzetu huko kwenye nchi zilizoendelea...
  12. erique

    Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

    Ni kweli, hiki limekua tatizo kubwa sana hall 5 na hall 2 , kule juu maji yalikuwa hayapandi kabisa, watu wanatumia magazeti. Terrible
  13. erique

    Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

    Kama naanza kukuelewa, kuna siku za nyuma sana, wakati Bwana Polepole hakuwa akifahamika niliwahi kugongana nad mara kadhaa kwenye ofisi za ubalozi wa Denmark
  14. erique

    Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

    Kuna siku za nyuma sana, kabla Bwana Pole pole hajafahamika, niliwahi kukutana nae mara kadhaa kwenye ofisi za Ubalozi wa Denmark. Nilijiuliza maswali mengi, sikupata majibu. Sasa ndio nimepata mwanga.
  15. erique

    Kuna uwiano wowote kati ya rangi ya bati na rangi ya ukuta?

    Tazama/soma hii chati itasaidia kutoa muongozo
  16. erique

    Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

    Kwakweli GPA kwa upande wangu imenisadia sana. Katika dunia hii ya ushindani, GPA (kutoka vyuo vinavyoheshimika) ndio kigezo kikuu kinachotumika kukutofautisha wewe mwenye GPA kubwa na yule alieye na GPA ndogo kwenye soko la ajira. Endapo wote mna vigezo vinavyifanana, degree zinazofanana, umri...
  17. erique

    Fundi rangi & design

    hii ni wall paper (kwa maana inabandikwa ukutani) au ni rangi?
  18. erique

    INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Nahisi, yeye anauza 1.5 ni kiwanja ambacho limeshapimwa, maana utakuwa unaptiwa na hati halisi ya Serikali. Pia, vipo karibu kabisa na barabara kuu ya lami. Huyu mdau hapa anauza mashamba, ukishanunua inabidi ulitengenezee mchoro wa matumizi, kisha uanze mchakato wa kupima ili ipate hati ya...
  19. erique

    Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Private sector ni pamoja na individual. Yeyote anaweza kunufaika na utaratibu huu. Ingawa hofu yangu ni kama benki za biashara zitakubaliana na huu utaratibu. Benki zinaweza kuamua kugoma na zishiriki kwenye utaratibu huu, na kupelekea lengo la BOT kutofikiwa. Inaelekea utaratibu huu ulifikiwa...
Back
Top Bottom