Search results

  1. NAJA

    Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

    Mbona imekuwa ghafla Sana jamani.... Subiri kidogo basi tukumbuke.
  2. NAJA

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    You made my day.... Nimecheka Sana. Andika kitabu mkuu.
  3. NAJA

    Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Amka wewe kumekucha.... Utakojoa kitandani bure.
  4. NAJA

    Siku ya pili leo 'Jimama' langu linatapika linanitia hofu

    45 mbona bado Binti kabisa.... We jiandae tu kulea
  5. NAJA

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    NAOMBA KUJUA BEI YA VIFURUSHI VYENU NA NAMNA YA KUJIUNGA
  6. NAJA

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Sipati channel ya capital tv.... Ni kwamba haipo kwenye kingamuzi chenu au shida ni nini?
  7. NAJA

    Kongole kwako Profesa Jay kuwa mtangazaji wa redio Clouds

    Last wiki kuna sentensi ya utani Aliongea masoud Babra akamind wakatoleana maneno wakati kipindi kikiendelea
  8. NAJA

    Kongole kwako Profesa Jay kuwa mtangazaji wa redio Clouds

    Nasikia amechukua nafasi ya Babra ambaye ameondolewa baada Ya kugombana hewani na masoud kipanya.... Inavyosemekana
  9. NAJA

    Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Hayo anayoyafanya sasa ndio yanayomfanya kuwa " Diamond". Akiamua kuwa " Naseb" hope atayafanyia kazi. Ila kwa sasa yeye ni diamond na hizo ndio nembo za diamond.
  10. NAJA

    Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini

    Tuwaombee tu hawa wasanii wetu kwa kweli.... maisha ya instagram na halisi ni vitu viwili tofauti kama mbingu na ardhi.
  11. NAJA

    Giggy Money: Lazima nifanye mapenzi na mtoto wa Zari

    Tuheshimiane bwana....... hhahahah
  12. NAJA

    Je, huyu ni rafiki mwema kwangu?

    Acha nae huyo... umeshajitoa sana, kama ameshindwa hata kujali ulivyopata msiba hafai kabisa.
  13. NAJA

    Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

    RIP Fredwaa 😭😭😭
  14. NAJA

    Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Kila la kheri mkuu huko uliko ambako ni sahihi. Tuachieni dhehebu letu. Hata hiyo biblia imeandikwa na wakatoliki usisahau.
  15. NAJA

    Nani amemkwamisha Tajiri Diamond kununua private jet?

    Wapi na lini Diamond alisema kanunua ndege? Acha kupelekeshwa na mitandao mkuu.
  16. NAJA

    Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    Lumber! Sikulijua hili kabisa
  17. NAJA

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Siri ya mbele hapa....!
Back
Top Bottom