Search results

  1. A

    Mustafa hasanali

    Wadau habari zenu, naomba msaada wenu, hivi huyu mustafa ametumia kitu gani mpaka akapungua kiasi hiki (weight) cuz watu km hawa ndio vioo vya jamii inashangaza kuwa hawazungumzi ukweli juu ya maisha yao as a role model
  2. A

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    ninamaanisha hivi....km ww umeajiriwa na org yoyote hp tz lkn uko chini ya usimamizi wa branch manager nataka kujua changamoto unazokumbana nazo, most of the time branch office huwa haina wafanyakazi wengi sasa labda ule uchache wa wafanyakazi sijui ndio kitu ambacho kinawafanya hawa managers...
  3. A

    Tuzo ya Mpoki

    anastahili kwa sababu alishindana na akashinda!suala la kucopy nyimbo ya mjomba ni jengine km kulikuwa na kasoro ktk hilo asingekuwa nomineted, na kingine ni kwamba kazi za kisanii ni kuigana so sidhani km kuna tatizo ktk hilo!
  4. A

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Habari zenu wadau, Hivi hawa mapersonal/hr officer/manager wanazijua? Kwanini unyanyasaji makazini bado unaendelea, kwa mfano unamkuta manager (branch manager) anaongoza wafanyakazi 3-10, anawaongoza just he/she has experience na kazi lkn hajui sheria za kazi wala mambo ya utawala. Naomba kwa...
  5. A

    Hivi hii taarifa toka itv ni ya kweli ama?

    nijuavyo mimi zanzibar maji bure, ila umeme wananchi wanalipa(nnikiwemo mimi) na kuh elimu.............tunachangia kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari ila zaidi ya hapo......I mean elimu ya juu unalipa.........
  6. A

    Nani anaandikaga subtitles za movies za Bongo?

    hahaha ni kweli jamani, mimi sio mtazamaji mzuri wa hizi movie zetu za kibongo lkn ukweli ni kwamba hizi movie ni balaa I mean ni hatari kwa maendeleo nasema hivyo cuz cjui watoto wetu wakiangalia wanajifunza nini zaidi ya kuvaa uchi, kingine ni kwamba matukio mengi yaliyomo ktk filamu hizi...
  7. A

    Mtanzania wa kawaida.....

    hello to everybody over there! next time when i get a chance i will be in the chat room to join with wanajamii.
Back
Top Bottom