Search results

  1. M

    Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

    Wakati mwingine watu hujua kuongea tu bila kujua anachokiongea. Nchi haiwezi kusongea kwa akili changa
  2. M

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Probably you need to read this first Hambach Forest – We are occupying the Hambach Forest, against its destruction and for more climate justice. to see if the Germans politicians are real pro environment, before judging your own government. For a matter of fact, Germany has already cleared a...
  3. M

    Makosa katika maandishi ya lugha ya Kiswahili, kwanini yanashamiri?

    Tunaanza na maelezo yako. Huwezi kuwa na sentensi ndefu kiasi kama aya. Sentensi yako ya kwanza haieleweki. Baada ya orodha ya maneno uliyotoa, pia sentensi hiyo haileweki. Na umemalizia kwa kuweka alama ya kuuliza wakati mpangilio wa maneno yako haujafuata jinsi ya kuandika sentensi ya kuuliza...
  4. M

    Rais Magufuli: Wafanyabiashara msiponunua Korosho kwa bei reasonable, Serikali tutanunua kwa siku mbili tu. Uwezo tunao!

    That has already been done, so we have to move on, not always pointing a figure to dreamliner. By the way, can you list even five national priorities that you know are officially set by past three governments and how were achieved?
  5. M

    Rais Magufuli: Wafanyabiashara msiponunua Korosho kwa bei reasonable, Serikali tutanunua kwa siku mbili tu. Uwezo tunao!

    Hivi kwa nini Wa TZ mna mawazo mgando sana. Kila wakati mtu atatolea hela za Dreamliner zingefanya hivi au kile. Kulipokuwa hakuna dreamliner, hayo yalifanyika. Kuweni na mawazo mapya, isiwe kila siku kujadili kile kile.
  6. M

    IKULU: Rais Magufuli azungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars)

    Squitinator wewe ndio hujui kabisa. Kasome regulation za mashindano haya endapo Cape Verde na Taifa Stars ikitokea zimelingana point nani atasonga mbele.
  7. M

    NASA’s strategist, David Ndii arrested in Kwale over People's assembly

    Na wewe mbona umechapia maana hakuna hii kitu 'National Aerounatical Society of America'
  8. M

    Hodi hodi

    Nimeingia ukumbini kubadilishana mawazo
Back
Top Bottom