Search results

  1. F

    Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Hawawezi kwenda huko,wengi wao( kama sio wrote) wanategemea kufanya shughuli ndogondogo katikati ya mji,hususani kkoo ili kujikimu.Kuwashauri waende chalinze au msata huko hawawezi kuelewa.
  2. F

    Vita ya Chalamila dhidi ya madanguro Dar ina viashiria vya ubaguzi

    Mashitaka Mara nyingi ni uzembe na uzururaji.
  3. F

    NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Umeo Umeongea ukweli HALISI.Kuna tatizo kubwa la kiutendaji NSSF.Nina uzoefu na aina ya huduma wanazotoa its totally unacceptable.
  4. F

    Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

    Lakini kuna speculation kwamba pengine huo ni mwanya ambao unatumiwa na baadhi ya watu "kutakatisha" fedha chafu.Je,hii teresi haiwezi kuwa kweli?
  5. F

    Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

    Huu no ujenzi pekee au pamoja na mtaji?
  6. F

    Namkubali sana Wakili msomi Mwabukusi lakini...

    Je,hujafikiria kwamba huenda Dr Slaa aliongea kwa kuzingatia uhalisia? Pengine yeye anaamini( kwa tathimini yake) kwamba possibilities ni walau upinzani kupata theluthi mmoja ya viti ya ubunge?
  7. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Kiv Kivipi?
  8. F

    Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

    Wa Walau wewe umekuja na wazo lenye kuzingatia uhalisia,swali linabaki je,wapiga kura wana utashi,utayari na ujasiri huo?
  9. F

    Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

    Kususia sio wazo zuri hasa kwa kuzingatia uzoefu wa Zanzibar baada ya CUF ya Maalim kususia marudio ya uchaguzi
  10. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Mchakato wa katiba mpya tumetangaziwa na mamlaka kwamba ni baada ya elimu ya miaka mitatu.Kwa vyovyote vile katiba mpya haitarajiwi kabla ya October 2025.Kinachowezekana walau mpaka wakati huo ni minimum reform kwenye sheria za uchaguzi na tume huru ya uchaguzi.Ndiposa nikatabiri kitakachotokea...
  11. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Kivipi mkuu.
  12. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Mkuu kwanini umekuwa na mtazamo huo.Labda tu nikuhakikishie binafsi hata Mimi ninayetabiri sifurahishwi na utabiri huu,lakini ni lazima tukubali hali halisi.
  13. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Asante lakini hoja hujibiwa kwa hoja.Leta mtazamo wako juu ya hilo.
  14. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Zingatia "mabadiliko mdogo ya katiba na sheria za UCHAGUZI" Hakuna lisilowezekana chini ya jua.
  15. F

    Kama Mbowe na Tundu Lissu hawatagombanishwa kufikia Uchaguzi mkuu 2025 basi CHADEMA itafanya Vizuri sana kwenye Uchaguzi mkuu!

    marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi. (2) WAGOMBEA URAIS-: (1)CCM - Samia Suluhu Hasan (2)CHADEMA - Tundu Lissu (3)ACT - Zitto Kabwe. (3) MATOKEO YA URAIS...
  16. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    Wewe pia umebashiri,niambie umetumia utafiti upi kujua huyo Hangaya unayemsema hapati 25% ya kura?
Back
Top Bottom