Search results

  1. M

    KATIBA MPYA: Hongera Kikwete kwa kukubali lakini mchakato usimamiwe na Bunge

    Kuna msamiati 'mafisadi' unaotumika ovyo ovyo inasemekana baadhi ya mafisadi ni wanasiasa, viongozi wa kijamii na hata wa dini lakini matokeo ya uchaguzi unaonyesha baadhi ya watu waliotuhumiwa mafisadi wameshinda vizuri ubunge na udiwani, Je wananchi waliowachagua ni mafisadi? Kwa maana kuwa...
  2. M

    Kwanini Kikwete Hakuwa na Furaha kwenye Kuapishwa?

    wacheni majungu JK alikuwa bomba ameapa kwa kujiamini zaidi kuliko ilivyokuwa 2005! mwaka 2005 nilikuwa uwanjani na jana pia! hata katika hafla alikuwa anatabsamu yake ya kawaida! tafuteni jengine...! amesema ' Yaliyopita sindwele tugange yajayo..!
  3. M

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya...
  4. M

    Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    kuna mtu nilimtabiria yuko kanada kwa bomba analolipiga Mwanachama wa zamani wa CCM aliyehamia upinzani Dr Slaa katika uchaguzi huu wanaweza kupata kati ya viti 30 hadi 50 vya ubunge naona nimempiku Sheikh Yahya..! Hongera Chadema...msipogombania ruzuku mwaka 2015 watanzania makini wasiokuwa na...
  5. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    watanzania hawajui rasilimali zao ukristo na uislamu ni rasilimali ..museveni alikuta Idd Amin ameingiza Uganda yenye waislamu asilimia 10 kule OIC baada ya kupima pro and cons uganda imo OIC! nyie washamba uganda si kuna mashahidi wa kiroho wa kikristo mbona wako OIC? kule Ufilipino asilimia...
  6. M

    Elections 2010 Wito wa kukamatwa kwa mnajimu

    kuna msemo : If wishes could have been horses everybody could have one to ride! haya maneno ya kuapiza ni dua la kuku kwa mwewe! kule marekani wana kampeni kali lakini husikii maapizo...hadi sasa sioni Obama , Mccain, Clinton walikuwa washindani wote sasa wanafanya kazi pamoja kwa manufaa ya...
  7. M

    Elections 2010 Wito wa kukamatwa kwa mnajimu

    msikatae kila kitu mnaamini kuna freemasonry na huko majuu mliko ndiko wanatawala! hesabu zilikuwa zinaonyesha jinsi wagombea walivyokamiana lazima mmoja atadondoka...! tushukuru lakini lolote laweza likatokea wakati wowote...! kila mtu kwa dini yake asali kuiombea amani na utulivu nchi yetu..na...
  8. M

    Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    ule umweleka mliokuwa mkiusubiri mafisadi wa upinzani jangwani haukutokea wanasema unaweza kumpata mtu mara ya kwanza au ya pili mara ya tatu ng'o! teheehee! kura zetu kwa chama kinachothamini: amani , utulivu, usalama, umoja, mshikamano na maendeleo..! nasema tuchague CCM! jamaa juzi kasema...
  9. M

    Elections 2010 Wanajamii forum je mnafahamu kuwa rais bora atatoka ccm?

    KWA NINI WATANZANIA HAWAWEZI KUWAPA DOLA WAPINZANI! Hadi sasa hawajafanya maandalizi ya kutosha kwa ajili ya viongozi wao kuongoza dola, wamekurupuka na kuacha maswali mengi ikiwa kuwa na wagombea wenye dosari ambazo zinaepukika! Ikulu sio mahala pa mchezo, utani wala pa kuhadaa Watanzania...
  10. M

    Elections 2010 Urais sio rahisi mnafahamu wanajamii forum?

    nilifikiri wote watanijibu kwa kebehi ..tahadhari : katika siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu maslahi endelevu ndio ya kudumu! halafu siasa ni usanii na ubunifu wa kutenda ambalo linawezekana wakati husika...! teheheeee...! ngoja nikumininieni kigongo kingine nasikia wale watani zetu...
  11. M

    Elections 2010 Urais sio rahisi mnafahamu wanajamii forum?

    DHANA YA KWAMBA URAIS NI RAHISI NI KUWATANIA WATANZANIA! Wapinzani wakiongozwa na Chadema wanachotaka ni Urais basi! Tena Urais wa kipindi kimoja tu cha miaka mitano! Halafu wawapishe wenyewe waliowatuma ndio maana yake! Suala la kuleta nafuu kwa maisha ni ghilba ambayo itaishia kupigiwa...
Back
Top Bottom