Wandugu,
Tafadhali naomba msaada wa melekezo jinsi ya kutengeneza na kuinterpret reference number ktk barua za kiofisi.
Yaani kama ndio naandika barua kwa mara ya kwanza halaf nahtaj kuweka reference number nazitengenezaje
Pili, kama najibu barua yenye reference number nafanyaje...
kama ningekua nafanya utafiti wa ufuasi wa wanaJF kwa vyama ama wagombea kipitia jukwaa hili ningekua nisha conclude kua Lowassa atashinda kwa zaidi ya asilimia 70.
Wakuu,
Samahanini sana kama niko sana nyuma litaarifa, ila kuna hili suala la kushushwa kwa viwango vya ufaulu, naamini wengi tulilisikia na kulifuatilia kwa karibu na kuliewewa, isipokua wengi naamini hatukukubaliana nalo. Hatukukubaliana nalo kwa kua kwa logic rahisi sana, maelezo...
mh...ila kwakweli me vitu vingine wala sikubalianagi navyo! kama mtaniona conservative mnionetu....hivi jamani mdada kabisa, tena msomi/wakisasa kucha mpaka ukasafishwe na mtu mwingine!! ukiniambia kutengenezwa nywele sawa, wala sibihi, ila kucha!!! hapana, me hata wangu sinto mruhusu...vitu...
Kiukweli wenzetu muvie zao ni nzuri sio kua ni bahati, ni kua wanawekeza muda na hela vya kutosha.
lakini pia vitu vingine wala sio hela, ma director nao wanazingua sana, et mfano mwananume anaenda kufunga ndoa
kanisani akiwa amevaa hereni!! serious kweli kimafafrika?kitanzania?? maana muvie...
Me hua nashagaa sana, hv kweli mtu unaandikwa kwa kukashifiwa hivi af upo kimya tuu!!
Au ni kweli huyo mbunge alibaka? na anaohuo ugonjwa wa "ajabu" unajua magazeti ya kwetu yalishazoea
ubweteubwetetu...unaandika tu kuhusu mtu bila hata kumconsalt!! walah hii ni case yenye hela nyingitu na...
Taarifa kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari vinasema mmoja wa baba wa Afrika, raisi wa kwanza wa Afrika ya kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia.
Rest in Peace Nelson Mandela.
May the lord in heaven forgive your sins and accept you into his eternal life.
Amen.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.