Search results

  1. KASINYE

    Model gani ya HTC ni nzuri zaidi kwa matumizi ya Internet ?

    Habari wana jamvi naomba msaada wenu/ushauri kwa mtu ambaye amewahi / antumia hizi smart phone kati ya HTC na 4n ipi ambayo iko vizur zaid kwenye access ya net hasa sehemu zenye low internet access. ntashukuru sana kma ushaur wenu utakuwa mambo mengine ya ziada kama uimara na mengineyo! karibuni.
  2. KASINYE

    Yamenikuta, msaada tafadhali

    Unampenda kitu gan acha uongo, mchezo mara moja tu umepagawa je kama angepitisha round ya pili. kwanza inaonekana hujamkosha alitegemea kapata mchezaji kumbe kanjanja, nakushaur temana naye
  3. KASINYE

    Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Katiba itakayo tatua matatizo ya watanzania
  4. KASINYE

    Huyu mwanaume mimi namwacha

    kama kweli unampenda kwanin usimshauri abadarike, ushauri wa bure. Kabla huja engage na mtu kila mtu amwambie mwenzake utaratibu wake wa maisha nini hutaki kufanyiwa na nini unataka ufanyiwe kabla hata ya
  5. KASINYE

    Kijana mdogo kutoka Sierra Leone katuonyesha waafrica nini tunapaswa kufanya

    Bongo cjui huwa tunawaza nn, tunao vijana wengi sana wenye vipaji vya namna hyo lakini hatuwakampani na mwishowe vpaj vyao hupotea.
  6. KASINYE

    Kukemea ufisadi kwamponza Sumaye

    Mwacheni apige kazi hata kama hayuko madarakani ndo asikemee?, hata kama hawatamsikia leo ipo cku sauti yake itasikika tu. Baba piga kazi usikatishwe tamaa!
  7. KASINYE

    Nawezaje kuachana na michepuko?

    Anza kwenda church alafu anza kuwa karibu na mkeo utembee naye itakufanya uanze kusahau michubuko yako hyo!
  8. KASINYE

    Nimchague yupi kati ya hawa

    sidhani kama dini ni kigezo cha kumkataa umpendae, ila naamin jibu unalo isipoangalia utaenda mzalia mtoto wa 5 na ukatimuliwa
  9. KASINYE

    Hii kitu ni kweli?

    siyo kweli, ulitulia utapata Mwenza aliyetulia kinachowagharimu wengi ni kukurupuka na kupenda uzuri wa sura na kumbuka mwenza siyo bidhaa utafika na kununua ili upate unayemuhitaji unatakiwa ujiwekee utaratibu ni aina gani ya mwanamke unayemtaka baada ya hapo uwe na maandalizi yasiyopungua...
  10. KASINYE

    Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    Ukae na mtu mwaka mzima alafu ndo uone hana sifa! hujukua kuwa ana mtoto?, kwanini uliamua kuishi naye? anyway lakini jaribu kutulia Kwanza sababu ikitokea akajiua mikononi mwako utawajibika mkuu
  11. KASINYE

    JUMAVITA wanyimwa Kibali cha utafiti Wilayani Ulanga

    Jukwaa la Mabadiriko ya Vijna Tanzania, wamenyimwa kibali na office ya mkuu wa wilaya ya ulanga mkoani morogoro cha kufanya utafiti unaohusiana na kuigawa wilaya hiyo katika wilaya mbili. Kati ya tarehe 7 na 8 julai 2014 uongozi wa jukwaa hilo ulipeleka barua ya kuomba kibali katika ofisi ya...
  12. KASINYE

    Kwanini Ikulu ilijengwa Magogoni na sio sehemu nyingine?

    kwanini wewe uliitwa jina hilo,?
  13. KASINYE

    Rais Kikwete karuhusu kampeni Urais CCM?

    tuwe wakweli hiyo afya ya Lowasa ataiweza mikikimikiki ya uchaguzi kama cyo Kutaka kumumalizia tu mzee wa watu?
  14. KASINYE

    Msaada wakuu,nimetapeliwa Milioni Moja

    Mkuu weka utaratibu kuwa, asifanye muhamala wowote I.e kukutumia pesa pasipo maelekezo ya cm alafu usipende kuwasiliana ishu za fedha kwa sms pia namba za kazi ziwe tofauti na binafsi etc
  15. KASINYE

    Barua ya wazi kwa watanzania wote

    amini nakwambia hakuna chama chenye nia njema na watanzania, wote wanapigania matumbo yao.
  16. KASINYE

    Jamani mbona nafanyiwa hivi

    kupelekeshwa siko tayari labda niamue mwenyewe ukikubali akupelekeshe mzee atakuaibisha siku Moja mbele ya wazaz wako na pia atakuzarau balaaa
  17. KASINYE

    Msaada jamani: je ni sawa?

    Ni mtazamo wangu; alikupenda kwasababu ya pesa zako sasa zimepotea anaona humfai tena jipange upya usimtegemee sana
  18. KASINYE

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ni kati ya 23 na 24 mkuu, nilikuwa kwa babu yangu kizaa mama niitengeneza asubuhi nashukuru Mungu hakuna aliyegundua uharibifu huo na uzuri walifahamu kuw ni demu wangu maana tulijumuika naye dinner
Back
Top Bottom