Search results

  1. luddo17

    Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Mimi ni Mkatoliki, tena ex seminarian na niliachia ngazi hatua moja kabla sijawa shemasi. Kanisa Katoliki japo bado lina waumini wengi, kiuhalisia limepoteza kabisa mwelekeo. Limetoka kuwa chombo cha ukombozi wa mwanadamu kiroho (human spiritual redemption) na kumgeuza muumini wake kuwa mtaji wa...
  2. luddo17

    SoC02 Nini/kipi kifanyike ili tuwe na elimu bora Tanzania?

    Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji. Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa kufanywa ili kupatikane ufundishaji na ujifunzaji bora, yaani kwa maneno mengine, tupate elimu bora...
  3. luddo17

    Why Kikwete formed The Warioba commission?

    I'm quite baffled with fact that the very President Kikwete who initially formed the commission for constitutional reforms under judge Warioba, is the very one who strongly 'nailed it to cross'. How? He has vehemently rejected its resolutions and opinions which in fact, they had been collected...
  4. luddo17

    Tanzania inakwenda mrama!!!!!

    Mi naogopa sana yale yanayotokea hivi sasa huko katika nchi za kiarabu, yasije yakatokea pia hapa Tanzania. Ndugu zangu, hali ni mbaya sana. Mamilioni ya watu wamejimwaga mitaani na kuzunguka majengo ya serkali ikiwa ni pamoja na kituo cha televisheni cha taifa. Swali la msingi la...
  5. luddo17

    A disappointing speech!

    [I][I][I][I][I][I]I was quite shocked and hence demoralized by President Kikwete's speech last week when addressing the nation. Actually, i failed to believe if he was the very president we massively voted for in 2005 with his slogan 'MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA'. How could he negatively...
Back
Top Bottom