Search results

  1. T

    Samsung galax note 2

    Mimi ninayo nauza bei nafuu na maelewano tu,ni pm,.
  2. T

    CCM wafanyia mkutano kituo cha polisi

    Itakuwa labda ndie aliesaihidia kujengwa kwa kituo hicho.
  3. T

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Je, kama ni kiwanja cha urithi kwa maana umepewa na wazazi wako kabla ya kufariki na hamkuandikishiana kokote, je process zake za kutaka kuziandikisha zinakuaje?
  4. T

    Fine ya kuchelewesha road licence ipo vipi

    Hiyo laki mbili gawanya kwa miezi kumi na mbili utapata kila mwezi fine yao.
  5. T

    nyumba inauzwa Tabata kinyerezi mil 20

    weka picha yake kiongozi tutathimini kuliko kupoteza muda kutoka mbali mpaka huko alafu sivyo unavyodhania.
  6. T

    Polisi naomba tuheshimiane , la Sivyo................!

    Alipona mtu kweli hapa duh! Hilo panga na sura za raia taswira inajielezea.
  7. T

    Mauaji Nyororo - Trivia Question - Michael Kamuhanda yupo picha zote mbili?

    Mimi bado linanipa tabu huyu RPC baada ya tukio mbona haonekani hapo au nae kalipuliwa hapo mguuuni ndio maana gari lake linasogea karibu?
  8. T

    Wafanyakazi, mishahara ya July vipi?

    Kwani wewe unalipwa na serikali gani na hupo taasisi gani mkuu?,sisi tunalipwa kupitia hazina wizara ya fedha.
  9. T

    Mrembo wa leo

    huyu si ndio yule bint tiny model wa kimarekani aliyetumia zaidi ya milioni 800 kubadilisha huwo mzigo alio ubeba hii shida sana.
  10. T

    Kwanini Mishahara ya hawa Watu haiwekwi wazi tuijue?

    Kuanzia milioni tatu na nusu 3.5 kwenda juu zidisha mara mbili mpaka boss mkuu ndio utapata kima chake ;zingatia uzito wa ofisi kumzidi mwenzie.
  11. T

    Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

    Kwa hiyo unashauli nini kwa wanadamu?
  12. T

    Historia ya Komandoo Tarimo

    Ndio yule alikuwa mbunge wa Africa mashariki na kesi lukuki mwenye kujiamini.
  13. T

    Kweli Kazi ya Mungu Haina Makosa

    cheki website yao mkuu utapata yote maelezo.
  14. T

    Jihadhari na Mfuko wa Plastic (Rambo) Barabarani

    asante mkuu,sasa ni vizuri na wewe ungetoa msaada jinsi ya kujilinda.
  15. T

    Kata K kwa vijana wetu...

    Kachoka na kivuko cha kigamboni anaelekea chuoni IFM hapo karibu na jengo la utumishi kivukoni,maisha magumu mpaka kwenye nguo zao!e na yuko na mishemishe zake!!!!watch out
  16. T

    Tujikumbushe ILBORU

    hi kwa anko john mpishi na babu kibogoyo.!
  17. T

    Nywele

    Tobaaa!sebuleni hivi je .....?
  18. T

    The Lord remembers Africa!

    Mmmh mungu mkubwa ramani ya africa kwenye mwanga very interesting!
  19. T

    Soccer

    Sasa hiyo video au picha na tutathibitisha vipi kama aligoma kwenda inje ,jipange kwanza kaka!
  20. T

    kuna tufouti gani kati ya kuona na kuangalia

    Hauwezi kuona bila ya kuangalia,but unaweza kuangalia lakini husione icho kitu,
Back
Top Bottom