Search results

  1. D

    Watanganyika wanaoishi Zanzibar watakiwa kuomba vibali vya ukazi

    Hii story kama ni ya kweli ......napata hasira na uchungu mkubwa saaaana....I hope it is not true maaaana how can we talk about NCHI MOJA ...ipi sasa?
  2. D

    Watanganyika wanaoishi Zanzibar watakiwa kuomba vibali vya ukazi

    Hii stpry kama ni ya kweli ......napata hasira na uchungu mkubwa saaaana....I hope it is not true maaaana how can we talk about NCHI MOJA ...ipi sasa?
  3. D

    Aina ya Muungano: CCM yatoa waraka kusisitiza msimamo wake ni Serikali Mbili!

    Hakuna nchi mbili kwenye Nchi moja .....hata mtoto wa darasa la saba analiona hilo.Kama tunaongelea serikali ya muungano basi ni serikali tatu ( serikali ya muungano ,serikali ya zanzibar and serikali ya tanganyika) nchi moja au nchi moja serikali moja( tangayika na zanzibar zinabaki kama...
  4. D

    Katiba: Kwa mara ya kwanza Dr Banna apaza sauti, na kuilaani CCM

    Hivi niwaulizeni kwa akili zetu kama kweli tunataka katiba bora , nchi bora , hawa watu hawa ...hawa sijjui wajumbe wasio kuwa na nidhamu kwenye hiLo bunge maalum wataweza kweli kutoa katiba iliyo bora??? Kusema ukweli nikikwasikia napata kichefu chefu. Kwa kifupi nafikiri kuna wavuta bangi...
  5. D

    Serikali tatu vs serikali mbili. Ni mfumo upi utanufaisha wananchi wote?

    Serikali tatu.....mambo ya kiuchumi , huduma za kijamii afya na elimu zanzibar na tanganyika zijitegemee.mambo ya muungano yabaki machache saana
  6. D

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    This is what we call divide and rule......cdm knocked out.wanahitaji kujipanga upya ..may be 10 yrs to come.2015 cdm haina lake
  7. D

    Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

    Tena hakuna report ya Dr inayosema kapigwa lile jelaaa ni la risasi au kitu kingine. Tusipendeke kukurupuka na kuhitimisha tusichokijua kitaaaalam.
  8. D

    Irresponsible mwananchi:Ponda ni controvercial sana kumpa hii coverage.

    Kwanza mimi sioni kwanini pia media inatoa kipaumbele hii habari ..kwanza yeye sio Mtanzania harisi.Ulizene wanaotoka Kigoma watakupa historia yake vizuri.
  9. D

    Maandamano ya Waislam, khotuba za swala za Ijumaa leo maeneo mbali mbali

    Kwani Padri alivyopigwa risasi Zanzibar au bomu kurushwa kanisani Arusha kuna mkiristo aliye andamana au kuongea holela holela kwenye mihadhara kama wanavyofanya watu wa kundi fulani? Nahisi kuna tofauti ya upeo wa kufikiri kati ya kundi fulani na jingine
  10. D

    Nimekutana na jini Kinondoni makaburini

    Mimi nafikiri ....ni mauza mauza tu wala sio jini wala nini ...This is what we call hallucinations
  11. D

    Swali la Ugomvi: Mliochagua CCM mnaona madudu yenu? Mnajisikiaje?

    Jamani, jamani, swala hapa si CCM, CUF, CHADEMA , wala chama chochote......... tatizo hapa ni upeo wa watu sisi wananchi wenyewe na hao viongozi tuliowachagua...we should not be pointing fingers. Kumbuka kila unaponyosha kidole kimoja kwa mtu vinne vinakuangalia.. Tunahitaji kwanza kuboresha...
  12. D

    Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

    Dawa ni kuwafukuza wabunge wote....mchakato uanze upya kwanza wabunge wange kuwa wanaamplly hii position kama tunavyo apply kuomba kazi nyingine yoyote...ili ipatikane nafasi ya scrutinization kuanzia tabia mpaka viwango vya elimu
  13. D

    Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

    Huyo ndio kabisaaaaa
  14. D

    Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

    Ndugu Watanzania, Mimi Binafsi ni msomi , daktrari mwenye masters degree mbili. Nimebahatika kusoma nje na ndani ya nchi. Pia nimefanikiwa kuishi nchi mbali mbali zilizoendelea.Kwanini ninatanguliza hizo statements? Najaribu kuonyesha kwamba kidogo nina uwezo wa kulinganisha siasa za nchi yetu...
  15. D

    UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    Kaka naomba nikukosoe. Madaktari wa kitanzania sio kweli kwamba hawana uelewa wa fani yao...one thing I can tell you medical practice sio sawa sawa na journalism au law au political science kwamba utarefer tu kwenye vitabu na ukapiga kazi .medical practice requires technology kuanzia...
  16. D

    Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Kuna wanawake wengine wakisha achwa inafika wakati wanaanza kutapatapa ..tena inawezekana sio mkono wa mtu mwingine basi mwanamke anakuwa na visasi tu
  17. D

    Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

    If you believe in it you better do it regardless.
  18. D

    Kutekwa Kwa Ulimboka Ili Kujilinda Tutembe na Mabaunsa/au kwa makundi? ya kidini/kikabila/kiujirani

    Wananchi hawachelewi kutafuta njia za kupambana na hijack na arrest za namna hiyo...si mnajua law of the jungle ....everyone looks for means to survive
  19. D

    ACP Hemed Msangi...

    Inabidi aseme squad yake yote
  20. D

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    Something is wrong somewhere either kuna viongozi wanafanya makusudi ili jambo la madaktari likos e solution au tuna washauri dhaifu serikalini......i cant think any other
Back
Top Bottom