Search results

  1. D

    Tunavuna tulichopanda, nasimama na Rais wangu

    ... Mheshimiwa si mwananchi mwingine yeyote yule, yeye ni Naibu Waziri. Na andiko lake analimiliki kama mtendaji wa Serikali! ... Kwanini abebe yeye mzigo? Hata wewe kwa maana hiyo. Sie ndio tunapaswa kufanya kazi, ninyi mtuongoze! Tena kwa upendo na busara. ... Unahubiria kwaya. Tunafahamu...
  2. D

    Tanzania reports a $637m trade surplus in 2017

    ... Kama nimeisoma vizuri hiyo taarifa -ambayo Toyota escudo amesema ni realistic- vilivyopungua kuagizwa ukizingatia thamani na gharama ni mafuta -kutokana na kushuka kwa bei- na mashine -kutokana na uchache wake. ... According to this report surplus ni $637m. Wakati huo huo inasemwa...
  3. D

    Wauaji wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji, kwanini hawaui wanawake?

    ... Toka mwanzo Boko Haram hawajawahi kuchagua nani anapatwa na mauti. Wote kwao ni halal! ... "Jamaa" wa Somalia nao hawachagui nani anapata salamu toka "makali ya jambia" ... ISIS na waungaji mkono wao ndio usiseme!
  4. D

    Rais Magufuli akutana na wataalamu wa umeme kutoka Ethiopia, asema 3% ya eneo la Selou litatumika

    ... Tuliwahi shauriwa kwamba, "....za kuambiwa, changanya na za kwako"
  5. D

    Rais Magufuli akutana na wataalamu wa umeme kutoka Ethiopia, asema 3% ya eneo la Selou litatumika

    ... Taarifa imesema tunabadilishana uzoefu. Of course, wanajua chochote kuhusu ujenzi wa HPPs. Ndio maana wamekuja. ... Ni kweli kujifunza ndio msingi wa hiyo ziara. ... China alitoa kiasi cha kama US$ 1.8 bn kununulia turbines na vifaa vyake vya umeme. ... Naisubiri siku watakayotuuzia...
  6. D

    Rais Magufuli akutana na wataalamu wa umeme kutoka Ethiopia, asema 3% ya eneo la Selou litatumika

    ... Hivi deni la mkopo wa ujenzi wa hilo bomba linaisha lini? ... Utafiti unahitajika. ... Kazi ipo kwenye kupata fedha za miradi hii. Inabidi tujipange, si mchezo!
  7. D

    W /Afya:Upigaji NHIF kupitia vipimo MRI, TSCAN, ECHO ;Hospital binafsi,dini na umma Kuifirisi NHIF

    ... Katika hali ya kawaida, kwa hiki unachokisema, NHIF hawatakiwi kulipa. Kama ugonjwa hauhitaji hicho kipimo, sioni namna NHIF wanavyolipa hilo dai. ... Halafu, MRI inamuumiza vipi mgonjwa?
  8. D

    W /Afya:Upigaji NHIF kupitia vipimo MRI, TSCAN, ECHO ;Hospital binafsi,dini na umma Kuifirisi NHIF

    ... Hii inatokana na facilities na huduma wanazotoa. ... Kama wanalipwa kwa huduma ambayo hawakutoa, basi kuna watu NHIF hawafanyi kazi yao sawa sawa.
  9. D

    W /Afya:Upigaji NHIF kupitia vipimo MRI, TSCAN, ECHO ;Hospital binafsi,dini na umma Kuifirisi NHIF

    ... NHIF hawakagui madai yanayowasilishwa kwao? Maana kama kipimo hakiko justified kinatakiwa kukataliwa kwenye malipo ya madai. ... MRI haitoi mionzi kama X-Ray. Pamoja na kwamba X-Ray ni nafuu zaidi, ina madhara makubwa kwa afya. ... Matumizi ni makubwa kwa kuwa nazo zipo nyingi sikuhizi...
  10. D

    Sheria mpya ya madini iwe 51% serikali na 49% mwekezaji.. Full stop

    ... SA ipi? ... Hii ambayo juzi imependekeza -inataka kupitisha sheria- makampuni ya madini kuuza 30% ya hisa zake kwa watu weusi? Hivi sasa sheria inayataka makampuni hayo kuuza 26% ya hisa zake kwa weusi.
  11. D

    Rais Magufuli anaweza kufanya kama Botswana na Namibia...Inawezekana ni jambo la kuamua tu!!

    ... Saudia wana kampuni yao ya madini -mwanzoni ikijishughulisha zaidi na dhahabu- ambayo ilianzishwa mwaka 1997, inaitwa Ma'aden. Mwaka 2008 imeandikisha 50% ya hisa zake kwenye soko lao la hisa. ... Mineral Investment Law yao imetilia maanani uendelezaji wa miundombinu ya usafirishaji, kama...
  12. D

    Rais Magufuli anaweza kufanya kama Botswana na Namibia...Inawezekana ni jambo la kuamua tu!!

    ... JokaKuu, namna walivyoingia na aina ya mkataba huko inatofautiana na yetu. Huo mgodi -Pueblo Viejo- ulikuwa mali ya Serikali, na ulifanya kazi toka miaka ya 70 na baadae mwaka 1991 ukasimama baada ya bei kushuka na ukosefu wa teknolojia muafaka ya kuchenjua. Hiyo SLA inaipa Serikali ya...
  13. D

    Sheria mpya ya madini iwe 51% serikali na 49% mwekezaji.. Full stop

    ... Sheria ziko sawa kwa kiasi kikubwa kwa sasa. Utekelezaji au kutumia faida ya hizo sheria ndio suala. Kwa mfano, sheria inatambua au kuelekeza umiliki wa hisa kufika hadi 35%, kama baadhi ya watu wanavyosema hapa. Suala linakuwa ni utekelezaji, kwa maana ya kuwekeza kufikia angalau kiwango...
  14. D

    Sheria mpya ya madini iwe 51% serikali na 49% mwekezaji.. Full stop

    ... Ghana ipi? ... Ghana kuna makampuni kadhaa makubwa ya dhahabu duniani yanayoendesha uzalishaji kupitia subsidiaries. Kuna Kinross Gold Corp yenye 90% na Serikali ya Ghana 10%, kwenye mgodi wa Chirano. Resolute Mining ina 90% na Serikali ya Ghana 10% kwenye mgodi wa Bibiani. AngloGold...
  15. D

    Sheria mpya ya madini iwe 51% serikali na 49% mwekezaji.. Full stop

    ... Kuwa na mpangilio huo wa hisa sio tatizo, na inawezekana! Je, tuko tayari kuwekeza? Wingi wa hisa huendana na wingi wa mtaji na majukumu, bila kusahau hasara -kama itakuwapo- katika uwekezaji huo. ... Muhimu pia, lazima tujue na tuwe na uhakika wa soko! Nani hununua dhahabu hii, na ana...
  16. D

    Sheria mpya ya madini iwe 51% serikali na 49% mwekezaji.. Full stop

    ... Mwaka 2010 kuligunduliwa kiasi kikubwa kabisa cha gesi duniani -kama futi 85 trilioni za ujazo- katika Rovuma Basin huko Msumbiji. ... Makampuni makubwa mawili yenye vitalu katika eneo hilo ni Eni na Anadarko. Ili kuendeleza gesi katika kitalu chake iliyoko chini ya bahari, Eni inahitaji...
Back
Top Bottom