Search results

  1. J

    Athari za kutolala kwa wakati

    Nalala saa nne usiku kuamka kumi kamili kila siku,najiuliza nitakwepaje hayo matatizo maana hata muda wa ku perform kwa sauti ya kihaya:smile::busu unakuwa shida mpaka viungo vingine vimesahau vina kazi gani mwilini
  2. J

    Qualification std 1

    Nasubiria ushauri wenye uzoefu
  3. J

    Qualification std 1

    Dear wana jamii Forum, mtoto wangu atakuwa miaka 5 na nusu Jan, nilitamani awe darasa la kwanza Jan lakini kuna vitu bado hajavifahamu kama handwriting sio nzuri japo anaandika na kusoma bado anaweza kusoma 3words letter, naomba ushauri nimpeleke darasa la kwanza hivyo hivyo atajua mbele kwa...
  4. J

    Udhaifu wa wanawake

    Una hukakika wanapata kila kitu wanaume wengi hawajui responsibilities zao japo sikatai kuna wanawake wenye tamaa ila asilimia ni ndogo kulinganisha na wanaume wanaopiga kazi za nje.
  5. J

    Spacio x g edition/spacio v limited

    Naomba msaada gari hizi mbili tofauti yake ni nini! Na je ni gari imara, Recommendation please wadau.
  6. J

    TAHADHARI: Wizi kwa unaempa lift

    Mi huwa napita sana Kinyerezi mwisho au Goba na huwa naota lift kwa wanafuzi sana tu, lakini kabla sijatoa lifti nahakikisha kila kitu nimeweka vizuri na kama siku hiyo gari yangu iko na vitu vingi sitoi lift.Usafiri ni wa shida sana jamani tusaidiane na Mungua atatulinda. Naumia sana especially...
  7. J

    Female financial economics! Jinsi wanawake tunavoteketeza mamillion kwenye vitu visivyo na tija!

    Mie pia nimeguswa nikiwa na hela nawashwa mpaka ziishe ndo nitatulia ila nitajirekebisha
  8. J

    Incubator ndogo na washing mashine vinauzwa.

    Incubator ni mpya au used
  9. J

    Kufuga kuku nyumbani

    LAT naomba nikutafute, nimevutiwa na Cage sanaaaaa
  10. J

    Pure German Shepherd Puppies wanauzws

    simu haipatikani nahitaji mbwa
  11. J

    Live from eatv c n b prezoo

    Nampenda Prezoooooo nilifurahia kumsikiliza hata Salama alipokuwa akimuhoji alikuwa anafurahia sana ilikuwa bonge la interview
  12. J

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Naomba msaada premio ya 2003-2005 CIF USD 6000 cc 1800 Dar estimation ya kodi na usajili
  13. J

    Roofing materials: Aina mbalimbali, faida na hasara zake

    Hivi ni kweli vigae vinaweza kuleta cancer
  14. J

    Nyumba ya kupanga inahitajika Kimara Temboni - Mbezi

    Morogoro road Kimara - Mbezi , thanks
  15. J

    Diamond Akifundishwa Kuogelea

    Naomba kwa anaejua wapi naweza kujifunza kuogelea mimi na watoto wangu please
  16. J

    Nyumba ya kupanga inahitajika Kimara Temboni - Mbezi

    Mbezi Jogoo ni sehemu gani! unaweza kunielezea zikoje?
  17. J

    Nyumba ya kupanga inahitajika Kimara Temboni - Mbezi

    Sijapata nyumba jamani
  18. J

    Nyumba ya kupanga inahitajika Kimara Temboni - Mbezi

    Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Kimara Temboni mpaka Mbezi isiwe mbali na barabara iwe na vyumba 3 vya kulala na Car Parking, umeme na maji, mtaa mzuri kwa malezi ya watoto na security ni muhimu, nina uwezo wa kulipa miezi sita mpaka mwaka
  19. J

    Dawasco mnahabari na uharibifu huu wa Kibamba?

    Yaani natamani mabomba ya Dawasco yangekuwa ukiyagusa unapikauka kama wire za Tanesco hii imefikia mahali inaudhi sana watu ambao hawalipi Maji kibamba wanapata maji kila siku tena wanauza kwa watu na Dawasco wana hesabu yao uki report hakuna naefuatilia vishoka ndo usiseme wanaunganishia watu...
  20. J

    Sakura automobile

    Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshafanya biashara na Sakura Automobile je ni waaminifu kama Autorec?
Back
Top Bottom