Search results

  1. MLATIE

    Tanzia: Askofu jimbo kuu la Mbeya Everist Chengula afariki dunia

    Apumzike kwa amani.Mhashamu Askofu Chengula.
  2. MLATIE

    Menu za hoteli za kitalii ni shida sana!

    Dah nimecheka sana
  3. MLATIE

    TANZIA: Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole sana kwa msiba wa baba
  4. MLATIE

    Ukomo wa Mifuko Mitano Tanzania Bara ni Machi, 2018; PSPF na NSSF pekee kubaki

    Mtoa mada inaonekana una taarifa ila huna taarifa za uhakika.Ni kweli mifuko minne pspsf,ppf,gepf na lapf zitaungana na kuwa na mfuko mmoja wa umma psssf(public service social security fund) na sio pspf kama unavyoaminisha watu.kwa hali ya pspf ss hivi haiwezi yenyewe kuwa mbadala wa lapf.Lapf...
  5. MLATIE

    Shukrani kwenu wote kwa kunifariji baada ya kufiwa na mtoto kwenye ajali ya Lucky Vincent

    Pole sana kaka,Mwenyezi Mungu aendelee kukupatia nguvu zaid na zaid
  6. MLATIE

    Ndesamburo aagwa kwa mara ya pili

    Pumzika kwa amani babu Ndesamburo
  7. MLATIE

    TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

    Pumzika kwa amani kamanda.kazi yako nzuri uliyoiacha itakumbukwa
  8. MLATIE

    Joseph Kabila kulidhulumu na kulitesa Kanisa Katoliki, anatambua nguvu ya kanisa kweli?

    Hii mbaya sana kwake kama kweli ni yy aliyefanya haya mambo ya udhalilishaji kwa Ekarist Takatifu.
  9. MLATIE

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Dah nimekumbuka mbali sana hasa kipindi cha mama na mwana.hadithi ya binti chura ua jekundu nk!
  10. MLATIE

    AJALI: Basi la Arusha Express lagongana na lori; hakuna madhara makubwa

    Wanaowalalamikia maaskari wako sawa kabisa.mimi binafsi niliwahi kupanda basi la Leina tours natoka Dom naenda Moro lile basi lilikua linakimbia sana nikamwita kondakta nikamwambia akamweleze dereva.Kondakta akaenda ila wapi dereva ndo kwanza akazidisha.Bahati nzuri kwa nyuma kulikua na namba za...
  11. MLATIE

    Sijui nianzie wapi?

    Pole sana mkuu Muombe Mungu akujalie wepesi ila wazo la boarding hata mm nalikubali na huyo mtoto mdogo mpeleke kwa mama yako mzazi maana kwako itakuwa ngumu kumlea.Halafu kaa chini ujipange tena vizuri.Kwa vile umeshafunga naye ndoa omba kikao cha familia aelezwe huo upuuzi wake.Baada ya kikao...
  12. MLATIE

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Hii wapi jamani?
  13. MLATIE

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Wapi tena jamani
  14. MLATIE

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Nimeenda TIA kuulizia kuhusu diploma maana mdogo wangu ana D na C mbili za english na History ila wamesema hawezi kusoma diploma ni hadi aanze kusoma certificate.naomba ushauri hapo.
  15. MLATIE

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Huyu ni mpuuzi achaneni nae
Back
Top Bottom