Search results

  1. D

    Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Ahsante kwa somo fikirishi lenye kutufanya tufanye mambo kwa wakati wake.
  2. D

    Msichana anataka ndoa ili niendelee kukaa kwake, na mimi bado ishu hazijakaa sawa

    Usijaribu kufunga ndoa kabla haujawa vizuri kiuchumi, mweleze ukweli. Na kama hayupo tayari kukubaliana na wewe basi ni bora mkaachana kwani ukikubali kufunga ndoa katika hari hiyo nakupa miezi 6 tu ya ndoa, utaanza kuisoma namba. Haohao ndugu wanaomshinikiza kuolewa ndiyo haohao wataanza...
  3. D

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    We jamaa acha mambo yako, hiyo habari ya Freemasons iko nje ya uwezo wako, jaribu jambo lingine.
  4. D

    Kazi kwa waliomaliza nursing

    Ndugu, labda hao waliosome miaka ya nyuma kidogo. Kwa sasa Certificate ni miaka 2, Diploma miaka 3, huyo wa mwaka mmoja ni Attendant.
  5. D

    Mafunzo ya JKT kwa wabunge vijana: Tahadhari mapema kwa CHADEMA

    Nilidhani ni mimi tu napatwa na wasiwasi huo, kumbe tupo wengi. Mungu awatangulie.
  6. D

    Buzwagi presha yatanda!!

    Sasa Buzwagi ndio wasambazaji wa umeme? Idai serikali, ndiyo yenye wajibu wa kuwapatieni umeme, Buzwagi nao ni watumiaji kama ninyi tu.
  7. D

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Ukiona mtu anabwabwaja hovyo ujue limempata. Chadema itasonga mbele daima.
  8. D

    Tahadhari: CHADEMA tuwe macho kwa hujuma uzinduzi wa kanda ya Magharibi

    Ndugu hivi unaelewa majukumu ya Mbunge? Wajibu wa mbunge ni kuisimamia na kuielekeza serikali nini kinatakiwa kifanyike jimboni, kutegemeana na mahitaji ya jamii [sio kujengewa nyumba binafsi, kupewa pesa ama kununuliwa pombe, nk] .
  9. D

    Tahadhari: CHADEMA tuwe macho kwa hujuma uzinduzi wa kanda ya Magharibi

    Kwa bandiko lako hili inaonesha kabisa kwamba wewe si mmoja wa wana Chadema, kajipange upya.
  10. D

    PENDEKEZO LA WASTANI: Tusiishie kutengana kwenye kuchinja; tutengane kwa kila kitu...

    Ndugu, bado hujamwelewa jaribu kutafakari ukiwa huru bila kuvaa itikadi fulani, utamwelewa tu.
  11. D

    dr wa simu

    Ipeleke kwa fundi wa simu aisafishe na kurekebisha kinasa sauti (mic).
Back
Top Bottom