Search results

  1. K

    Jasusi nchini - utaratibu wa kuripoti ukoje?

    Hii thread nii ya tangu January 2010, je bado hujapata msaada?? Na kama kweli ni jasusi yuko nchini si atakuwa ameshamaliza kila kitu alichotaka kufanya? Hebu tupe update mkuu.
  2. K

    Hodi Hodi Wanajamii!!! Naomba nipokeeni!

    Mkuu PakaJimmy, Kwanza nashukuru kwa JF Rules ulizonidondoshea hapo juu. Huu ni msaafu wa kunisaidia na wale wengine ili tuweze kuwasiliana hapa kwa amani zaidi. Pia kuhusu uchangiaji, nitajitahidi sana, nikipata chochote nitatumbukiza kwenye account kama ulivyoelekeza hapo juu.
  3. K

    Mzungu na mswahili huyu wanafanya nini?

    Wamependana, wanapeana molove!!! Sasa hapo mnashangaa nini wakati hata wengine hapa mnafanya hivyo hata kama na waafrika wenzenu? Jambo la kawaida hilo. Wamezimikiana.
  4. K

    Warning to all !!!!!!!

    Thank you. Hawa wezi wanatumia njia mbalimbali za uharamia wao.
  5. K

    Mpenzi wangu na safari za bosi

    Kumbe ni mpenzi na wala si mke!!! Hapo kuna shida gani kaka?!!!Piga chini huyo hafai kuwa mpenzi wala mke, bali umefuga malaya tu! Kwa nini ufe na tai shingoni?
  6. K

    Hodi Hodi Wanajamii!!! Naomba nipokeeni!

    Nimeamua leo kujiunga hapa jukwaani rasmi badala ya kuchungulia tu kama mgeni. Leo nimeamua kuilegeza ile kamba ya kuku mgeni! Nipokeeni tuchangie pamoja kuelimisha jamii yetu. Mimi ndugu yenu Kalumbu.
Back
Top Bottom