Search results

  1. U

    Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Nimetumia thunderstorm VPN inakubali lakini iko slow Sana
  2. U

    Uteuzi wa wajumbe wa IEBC Kenya

    Naomba kujua ni utaratibu upi unatumika kuteua mwenyekiti na wajumbe wa tume huru ya uchaguzi na mipaka kenya.
  3. U

    Msaada taa za LED strip

    Naomba kujua led strip light au wengine wanaita snake light Zina wat ngapi kwa meter moja.
  4. U

    Forums za Uganda na Kenya zilizo active

    Naomba kupatiwa majina/link ya forums ambazo ziko active kama JamiiForums za Kenya na Uganda
  5. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO nimenunua umeme wa laki moja badala wa elfu 10,je naweza kurudishiwa fedha , naomba msaada wa haraka,
  6. U

    Uwanja wa Azam na ubora wa taa

    Nangalia mechi ya azam na gwambina, vivuli vya wachezaji ni vingi mno, mchezaji mmoja anaweza kuwa na vivuli vinne, hii inahalibu ubora wa picha. Wakuu nyie mnaonaje au ni ushamba wangu
  7. U

    Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

    Naomba mwenye kujua channel yeyote inayoonesha mechi zote za EURO, kwenye king'amuzi cha Azam.
  8. U

    Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Msaada:hivi ukipewa hifadhi na Nchi fulani, hiyo Nchi itagharamia maisha yako mfano hela ya chakula, nyumba n. k
  9. U

    Tatizo lolote la PC/device

    Msaada naomba kujua free app ya kurestore data zilizofutika kwenye recyclebin
  10. U

    Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    Wale washangiliaji walishaandaliwa kwa kazi hiyo na waliwekwa kwenye eneo maalumu.
  11. U

    Tatizo lolote la PC/device

    Simu yangu haionekani kwenye laptop(lenovo) nikiunganisha kwa kutumia USB cable
  12. U

    Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    Naomba kujua huyu Dada kama yupo kwenye social network yeyote Sent using Jamii Forums mobile app
  13. U

    Mwina Kaduguda azua balaa uchaguzi klabu ya Simba

    Hugo ndo simba wa yuda
  14. U

    Msimamo wa Dr Mpango ndio walichokikosa wasomi wetu

    Alipata msimamo baada ya kujua msimamo wa raisi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. U

    Kenya: Tanzania free Don Bosco

    Sawa,tunataka kujua alifanya kosa gani Sent using Jamii Forums mobile app
  16. U

    Kenya: Tanzania free Don Bosco

    Kwenye mitandao ya Kenya hasa Twitter kuna movement inaendelea yakutaka raisi Magufuli amwachie huru huyo jamaa kutoka kizuizini.Naomba kujua huyu jamaa ni nani na alifanya kosa gani mpaka kuwekwa kizuizini miaka 6 bila ya kupelekwa mahakamani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom