Search results

  1. Ngolinda

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Msikilize Tundu Lissu akiongea na VOA kuhusu mambo yaliyoibuliwa na Dr. Slaa katika mkutano wake na waandishi wa habari.
  2. Ngolinda

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Uzuri na kupendwa kwa binadamu hakupo katika ubinadamu wake bali katika uzuri wa imani na matendo yake. Kwa hiyo kesho tutampima Dr. Slaa kwa imani na msimamo wake wa sasa, akikengeuka nae tunamfutilia mbali katika historia ya mabadiliko ya Taifa letu. Kesho ndo tutajua kwamba kipi ni kipaumbele...
  3. Ngolinda

    Namba hazidanganyi: Pamoja na UKAWA kuungana hawawezi kukwepa mafuriko 2015

    Sio royal ni loyal wewe mtabiri wa nyota...watu wengine mnaboa, hata kiingereza chenyewe cha kuunga bado mnajidai wachambuzi wa masuala ya kisiasa!!. Wizi wa kura mwaka 2010 kila mtu anaujua, isitoshe kuna zaidi ya vijana milioni tano wanatarajiwa kuingia kwenye daftari la wapiga kura (wapiga...
  4. Ngolinda

    Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

    Ufalme umepimwa, umepimwa kwa mizani na kumbe umepungua!... U made my day mkuu Ngorope.
  5. Ngolinda

    Bila Mbowe, Lipumba, Mbatia Slaa na Maalim Seif Kuachia Ngazi

    Dogo unapaswa kupuuzwa tu na kusamehewa kwa sababu hujui ulitendalo. Shida uliyonayo ni kufikiri kwa kutumia ndimi kama alivyo kaka yako LUKUVI. Lakini itoshe kufahamu tu kwamba ulimi ni kiungo hatari mno, na ww ni mmoja wa watu wenye matumizi mabaya sana ya ulimi, na hili limeshakugharimu...
  6. Ngolinda

    Rev Mtikila mbona yuko kimya sasa?

    Mkuu Mwanangoko, Salamu kwako. Mkuu hii sermon nadhani wengi tunatamani kusikiliza, unaweza ku-upload hapa na wengine tufaidi walau kidogo?.
  7. Ngolinda

    Mh. Mizengo Pinda Apinga Mawaziri kutokuwa Wabunge

    Mh. Waziri Mkuu, Tumechoka kusikia sababu na mawazo ya hovyo kutoka kwako. Nasema wananchi tumechoka: "Wananchi tumesema hatutaki kufanywa wajinga; PM Pinda ukikiuka na kuendelea na ushauri wako ulio sawa na nguvu za giza utapingwa tu. Wananchi tumechoka kukuvumilia, LIWALO NA LIWE".
  8. Ngolinda

    Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

    Ufafanuzi mzuri: Kwa kuongezea tu hiyo picha inaonyesha imepigwa 1:02 AM ambayo ni saa saba na dakika mbili usiku. Sasa hata taahira atagundua Tar na saa ya camera haiko sahihi...otherwise huyo mpuuzi TUNTEMEKE atuambie kwamba huo mkutano ulifanyika saa saba usiku..which is madness.
  9. Ngolinda

    Vuai...wapinzani msiige ujasiri wa kujivua gamba

    Hapo kwenye Bold red, Mwigulu anamaanisha nini hapa? Kwamba katiba inayotakiwa na CCM sasa itapatikana baada ya Kikwazo kuondolewa bila shuruti??!!...ni nani huyu Kikwazo? Je ni Dr. Senkoro Mvungi (R.I.P)? Huyu Mwigulu na Nchimbi ni deadly terrorists. Nina uhakika mpaka sasa mikono yao...
  10. Ngolinda

    Kikwete huna adui ila wewe mwenyewe ndiye adui

    Angalia unashindwa hata kutafsiri kauli...we bure kabisa! Mawazo yako haya ni sawa na ya Kipepo..Mashetwani kama njie ni wa kukemea! Kama kweli umeona tatizo la Kikwete ni 1. Busara zake, 2. Upole, 3. Kutoa freedom of expression, 4. Chadema na 5. Mafisadi basi mpaka hapo wewe ndio adui wa...
  11. Ngolinda

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Wewe kweli ni mgonjwa wa akili!
  12. Ngolinda

    CHADEMA: Kuingia Ikulu Ni Dhahiri, Kubakia Ikulu ni Ulakini

    Mkuu Mchambuzi, Kimsingi nakubaliana kabisa na tafsiri yako ya matokea ya utafiti huu. Of course, wachangiaji wengine wame-highlight mambo ya msingi ambayo yanakuwa reflected pia, mengi nakubaliana nayo. Lakini pia, napenda kuchangia jambo moja ambalo mara kadhaa linasahaulika tunapokuwa...
  13. Ngolinda

    Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Need u say more!...well stated mkuu.
  14. Ngolinda

    Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Mkuu pale ndio kashafanya umbayuwayu wa kuchanganya na za kwake. Ameshaona hata nchi ikiharibika hana cha kupoteza. Mwanamke asiye na mume wala watoto huwa hana uchungu wowote wala ubinadamu. Unajua ukitaka kujua ubinadamu wa mtu muangalie usoni, the face reflects what the heart bears. Sasa...
  15. Ngolinda

    Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Input ina maana gani kwako wewe mwanamke mpumbavu? Kuonya na kukaripia pia ni input. Sasa ukishauri serikali imuondoe waziri mwenye elimu ya kuunga asiyejua hata mipaka ya nchi yake, hiyo sio input? Wizara ya Elimu inaongozwa na mawaziri wabovu (Kawambwa kila leo anabadilishwa wizara baada ya...
  16. Ngolinda

    Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

    The finest warning ever!...advice at its best.
  17. Ngolinda

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Mkuu umesema vyema. Halafu anasema eti ataenda kuokaka upya, meaning ameokoka. Huyu anacheza na Mungu.
  18. Ngolinda

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    Mkuu huyu sio mbeba boxi, wabeba boxi huwa wana akili timamu...Huyu mtu atakuwa anafanya kibarua cha kutunza watu wenye matatizo ya akili (taahira). Huoni akili yake nae ilivyoathirika?
  19. Ngolinda

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    Kero kwako Mlowezi, sio jamii...Jamii ipi unayoongelea wewe? Kama ni kweli CDM imekuwa kero kwa jamii basi polisi waruhusu maandamano then wananchi wenyewe wachague kushiriki ama laa!. Naona unawahusudu wageni/wawekezaji mpaka unasahau maslahi ya nchi yako.
  20. Ngolinda

    MWANAFUNZI HAFAULU KWA MAANDAMANO, dawa ni kubadili mfumo wa elimu nchini sio kila jambo maandamano

    Ila majibu yanapatikana kwa makada sio?...mbona wasifanyie kazi siku zote?. Ni mtu asiyejua maana ya uwajibikaji na umuhimu wa elimu kwenye maisha ya vijana wetu ndo anaweza kuhoji nia ya maandamano haya. Inshu hapa ni viongozi wenye dhamana wawajibike kwanza ili wapishe wenye uwezo wa kufanyia...
Back
Top Bottom