Search results

  1. E

    Yajue matukio ya mwaka 2011...pia matukio ya nyota yako kwa undani.

    Naona mambo hayaendi uzuri ndo maana sijaposti chochote ila nipe habari za UVCCM wanataka kutueleza nini :disapointed:
  2. E

    Ndugu Yetu Mtanzania Amepotea LA: Carol Mmari

    kwa watanzania wa pacific northwest yaani Washington Oregon Idaho tunaifanyia kazi atakaye pata habari au fununu tufahamishane Muta Tanzanian community
  3. E

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mawazo ya Nyerere na Karume ilikuwa nimuungano wa Serikali mbili kuelekea serikali moja Sasa wazo la serikali ya tatu lililetwa na G55 nao mwalimu akawazima kwa hoja nzito Sasa kwanini tusiendlee na mawazo ya kuwa na serikali moja badala ya kuvunja muungano au kuunda serikali ya tatu...
  4. E

    Mtoto wa Amin amfagilia Nyerere

    Hamjambo ndugu zangu wa jamii forum Yawezekana anauwania urais wa uganda ila naye uraia wake unautata kwani nafikili baba yake Amini alikuwa M Sudani na mama yake ni mnyarwanda ila yeye alizaliwa uganda sasa sijui sheria ya uganda kuhusu wagombea urais wanatakiwa kuwa na...
Back
Top Bottom