Search results

  1. justin mwanshinga

    Mkuu wa Polisi rudisha Askari barabarani, Watanzania watakwisha kwa ajali

    Tatizo sio uchache wa askari kwa eneo kama Inyala Bali ni mambo mengine kama 1. Ubovu wa barabara 2. Udogo wa barabara 3. Magari kuwa mengi 4. Mlima na mteremko kuwa mkali 5. Malori kuchanganywa na magari madog N.k Solution Ijengwe barabara Pana ya njia nne kuanzia Ilongo Hadi Mbalizi Pili...
  2. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Yes man, miundombinu ndio chanzo na pili ubovu wa haya magari maana ule mlima unahitaji gari Zima lenye break imara hasa likiwa na mzigo
  3. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Ok kaka . Lkni kwa kifupi ukiwa unaingia mbeya ukishafika mpakani mwa wilaya mbarali na mbeya Kuna sehemu panaitwa Ilongo. Sasa kuanzia hapo ndio mlima huanzia Hadi mlima nyoka ambapo ndio unakuwa unaingia ndani ya Jiji la mbeya . Yaani kwa kifupi kata yote ya Inyala na Itewe ndizo zinapitiwa...
  4. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Kiukweli ilikuwa ngumu kuyajua maana Ile gari ya abiria ilikuwa inatoka mbeya kwenda njombe na kama ujuavyo polisi na Sheria zao. Kama tu pale watu wameshuhudia vifo vingi sana lkni RPC anasema watu nane tu
  5. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Bila serikali kufanya jambo TUTAKOMA . Barabara inatisha sana hii . Yaani solution ni kuijenga kubwa kuanzia Ilongo Hadi Mbalizi na pili malori kuhamishwa njia Yao kwenye hii milima
  6. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Tatizo la hili eneo sio Mwendo. Tatizo ni mteremko na Mlima kuwa mkali pia ufinyu wa Barabara, barabara kuwa mbovu na zaidi barabara Ina magari mengi kuliko uwezo wake . Inahudumia magari ya Kila namna, makubwa kwa madogo ya mizigo na ya abiria . Yaani kwa ujumla panatakiwa hatua za haraka...
  7. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Nimekuelewa sana ndugu japokuwa niliandika ombi , pendekezo na ushauri kwa kuwa ni mwenyeji wa haya Maeneo ndio maana nimeandika kuwa wajitahidi kuhamisha malori kwa kuyajengea njia Yao kule chini itengane na hii ya njia ya Sasa. Lkni nimekuelewa sana
  8. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Lakini nadhani Kuna kitu wanaficha, hivi kipi kigumu kumueleza ukweli rais au waziri mkuu ??! Pili naamini rais anajua huu ukweli wa hii barabara maana spika ni mwenyeji hapa . Kiukweli sijui naweza pata wapi namba ya raisi nimfowardie hiki Kilio maana it's too much . Leo watu wamekufa...
  9. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Hakika, yaani ni kama wameamua watumiaji wa hii barabara hasa wenyeji wa Mbeya kuwa Mbuzi wa kafara . Yaani umeongea points sana maana barabara ni ndogo afu Ina mzigo wa magari ya IT, malori maelfu, mabasi na magari madogo na ya kawaida . Kibaya zaidi barabara ni ndogo na ni mbovu . Kuanzia...
  10. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Leo ukisoma na kuwasikiliza mashuhuda na sio RPC unaambiwa watu karibu 40 wengine wanasema hata 50 . Inatisha na kuogofya sana maana haziishi siku mbili bila ajali kuanzia Shamwengo Hadi mlima nyoka
  11. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Kaka inabidi wasome tu wahusika kama wanaweza paza sauti maana ni hatari lile eneo
  12. justin mwanshinga

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Makala hii hapa chini niliiandika Facebook mwezi wa saba baada ya ile ajali mbaya ilioua watu zaidi ya 20 pale Inyala. Bado hatujasahau na hata arobaini za waliokufa zikiwa hazijatimia leo tena wamekufa wengi zaidi chanzo kikiwa kilekile, ufinyu wa barabara, mlima na mteremko mkali, kufeli breki...
  13. justin mwanshinga

    Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    IGP Sirro ni mwongo asiyefaa kuvaa sare ya Jeshi la Polisi, let alone kuwa Mkuu wake. For the record: 1) Hajawahi kunipigia simu au kuniita kwenye mahojiano yoyote. 2) Nikiwa Nairobi Hospital niliambiwa polisi watakuja kunihoji hospitalini. Niliwasubiri lakini hawakuonekana. 3) Polisi...
  14. justin mwanshinga

    Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce Nyanda* Mjadala umeleta hisia na ushahidi mpya kuhusu utawala wa JPM 1. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Biashara yetu ya Star Tv ,RFA iliharibika -Diallo 2. Sie hatukulipwa na CCM , waliolipwa ni Crew...
  15. justin mwanshinga

    Kama ulikuwa mpinzani 2015 -2021, wewe ni mwamba na umeyashinda mabaya mengi

    Kuanzia 2015 mwishoni Hadi 2021 Tulipokuwa tunawaambia TIME WILL TELL mlijua tunajifunza kingereza, we tumwa ukaue, tesa watu, dhulumu watu, shadadia watesi, zarau watu, tukana watu na wafanyie mabaya yote lakini kaa ukijua hiyo nayo ni mbegu ambayo itaota tu, mvua inyeshe au jua liwake itaota...
  16. justin mwanshinga

    Wakina Sabaya wapo wengi sana

    Kwa hiyo alikua anapambana na Mama Samia, DPP, Takukuru n.k ??? Au unamaanisha nini !!
  17. justin mwanshinga

    Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  18. justin mwanshinga

    Wakina Sabaya wapo wengi sana

    TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO. Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake. Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
Back
Top Bottom