Nimekua nikifuatilia mienendo ya baadhi ya wafuasi wa Chama cha kijani...siku za hivi karibuni wameamua kuiga kila kitu cha CHADEMA.
CHADEMA ikianzisha mada wanadakia na kudai ya kwao mwisho wa siku inawaumbua. Mfano CHADEMA walisema kuna mawaziri mizigo wajamaa wakadakia wakazunguka nayo...
Kwa kuwa nishawahi kuona video yake ya ukabila humuhumu JF nafurahi walivyomzimia hiyo maiki vinginevyo angepoteza uwepo hapo kanisani. Na hayo makanisa mengine Dah! hivi wanakosa wakualika?
Ndugu yangu ujumbe wako Leo mzuri,
Sasa nachosikitika ni kwamba wewe umeona nyumba tu. Je madini, gesi, bandari nk
Mimi nazani cha muhimu ni kuondoa mfumo mzima na chama na kukipa kengine
Mentor kipaji unacho mashairi chunguchungu
Kila kitu utoacho umejaliwa na Mungu
Nikisifu utupacho kwa wengine zumbuzumbu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige
Achana naye Mchacho kila saa ni majungu
Kwa kuwa yeye ancho kipajiye kungungu kungu
Kazania utupacho ili iwe kumbukumbu
Tegemeo langu leo...
Nashukuru Mungu kwamba wanaanza kuumbuana wenyewe kwa wenyewe!! Kuna walitaka na Chama Chetu CDM kiwe kama chao lakini walishindwa. Hawa Wasaliti walishabikia na wengine Walijaribu kuivuruga Chadema kwa issue ya Zitto lakini Mungu alivyo mwema wameshindwa. Sasa Chadema ni mwendo wa M4C pamoja...
Katika makala ya Dr Kitila Mkumbo iliyotoka katika Gazeti la Raia Mwema yenye kichwa cha habari ''' Tunahitaji mbadala wa CCM, Chadema -2'''' DR Kitila amejitahidi sana kuonyesha jinsi gani Viongozi wa Chadema walivyo wabinafsi, Jinsi gani hawaambiliki, Jinsi gani wasivyo wavumilivu, Jinsi gani...
''' Mwanasheria mkuu mstaafu , jaji Mark Bomani amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuachana na muundo wake wa serikali mbili na kwamba , wawaachie wananchi waamue.
Pia Jaji Bomani alisema anasikitishwa na madai yanayoelekezwa na baadhi ya viongozi ,tena anaowaheshimu kuwa Mwenyekiti wa Tume...
Miongoni mwa vitu vinavyonikera ni pale ninaposikia raia wa Tanzania anashabikia Uraia wa Nchi Mbili. Eti turuhusu wananchi wapate haki ya uraia wa nchi mbili!!! Ukiona mtu wa namna hiyo muogope. Kinachosikitisha sana ni kwamba kuna hata baadhi ya viongozi wa juu wanaonekana kulishadidi hilo...
Tuende mbele turudi nyuma....mimi nasema Msindai kakosea! Pamoja na kwamba kuna watu wanaibuka kumtetea. Mimi naamini kakosea kabisa na kitendo alichofanya ni kupiga kampeni.
If this country is cursed.... Please God forgive us!
'''The presidential post has become like drama every person in Tanzania feel like he/she can be a president''' God forgive us.
May you God tune our minds to be like minds of a Normal person.
Wala haina haja ya kushituka maana ni njaa tu ilikuwa inamsumbua! Angekuwa mpinzani wa kweli angeenda hata CUF au NCCR Mageuzi. Lakini kurudi alikorudi ni njaa tu zimempeleka na hakina atapotea kisiasa kama baadhi ya wenzake waliowahi kuwa wapinzani maarufu lakini sasa hakuna kitu tena.Wamebaki...
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Sisi Watanzania wenyewe hatijielewi...unakuta mtu anachangia kishabiki anasifia hata visivyosifiwa...utafikiri kahongwa...!!! yaani sijui tuna nini Watanzania!
Dr. Wilbroad Slaa ni miongoni mwa watu walio changia kuanza na kustawi kwa CCBRT na kama sikosei kwa sasa ndiyo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi. Ili kuamini maneno yangu fuata maelezo na link ifuatayo:http://www.ccbrt.or.tz/about-ccbrt/facts-figures/
history of CCBRT1994: With the support of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.