Search results

  1. F

    Nampenda lakini hanitaki sijui nifanyaje

    Pole sana aiseeh.....jitahidi ku move on....mapenzi hayalazimishwi
  2. F

    Nipo Naye Kwa Sababu Tu Sipendi Kuitwa Single ...

    Why are u still with her.......oops u answered that already, u dnt want be single....hongera aseeeh we jasiri sana
  3. F

    Mke wa rafiki yangu anataka kutembea na mimi ili kulipa kisasi...

    Cha msingi athibitishe hizo tuhuma kwa kutengeneza mtego......kisasi kwa kutembea na mke wa best yake will only complicate things..... Then hatua nyingine zitafuata
  4. F

    vipi utaamini mwanaume anakupenda?

    Kipimo cha kupenda sio kumridhisha kwa kwenda kwake.........we unampenda? Manake hujafunguka vizuri
  5. F

    natesekea mapenzi

    temana nae.....mbona kila kitu kipo plain and clear? au unangojea ishara angani? time heals pal.....
  6. F

    Pendekezo: Katibu wa Bunge ajiuzulu kwa kupotosha taifa

    Ni kweli ajiuzulu.....lakini viongozi wangapi wamevurunda wakajiuzulu?
  7. F

    Chadema huu ni msimu wa kilimo, waache watu walime kwanza!

    kupigania haki ya kweli, ukandamizaji, uozo n.k hakuna majira wala msimu fikiri kabla ya kubandika post
  8. F

    Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

    [KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.......] acha hizo wewe....soma habari kwa makini kabla hujachangia....kasema viongozi wote wa dini.....hii...
  9. F

    Cardinal Pengo; Before you jump into politics, Safisha kanisa lako!

    Crap....!!! katumia haki yake kutoa maoni yake, haijalishi ni kiongozi wa dini.... tafakari tena....poor thread
  10. F

    Hatimaye CCM yatimiza ahadi; Bajaji za Wagonjwa zapokelewa rasmi

    hiviiiiiii hapo mgonjwa anatundikiwaje drip? what if yupo mahututi na anahitaji msaada wa haraka kwenye hizo "ambulance" kuokoa maisha yake? inakuwaje hapo? what if mama ana kifafa cha mimba au complication yoyote ya mimba au baada ya kujifungua?..... huu ni utani.........
  11. F

    Hatimaye CCM yatimiza ahadi; Bajaji za Wagonjwa zapokelewa rasmi

    mmmh? kuna usalama hapa? sasa si unaweza kumuua mgonjwa kabisa hapa kabla hajafika hospitali? ivi wat about remote areas zinafika kweli? kuna takwimu/reviews zozote juu ya pikipiki hizi mahali zilipotumika na ubora wake? naona ka janja ya watu hapa, pikipiki 400 vs mil 90 mkopo wa wabunge....
  12. F

    [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Chato na Katoro

    hongereni sana mkuu, msiogope vitisho vinavyoletwa kila siku.......Mungu atubariki Tanzania je ni lini Mbeya? tunawasubiri kwa hamu tuungane pamoja
  13. F

    Speech of President Kikwete at EITI Conference in Paris

    [.........To date, because of the good work being done by Tanzania Mineral Audit Agency, we can confidently say that things have began to change and will continue to change for the better.........] its supposed to be ....things have begun.......
  14. F

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    kama kweli wabunge wana uchungu na wananachi wa majimbo hayo, wakatae hizo fedha zitumike kutatua matatizo makubwa zaidi kama umeme, huduma hasa kwa wamama wajawazito AU watumie hizo fedha kuboresha hali duni na kuleta maendeleo la sivyo watakuwa ni WANAFIKI WAKUBWA !!!!
  15. F

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    mbinu na uoga wao wananchi tusipate taarifa sahihi....!!!
  16. F

    Migomo CHADEMA Bungeni: Ulafi wa Madaraka au Demokrasi katika Ubora Wake!!??

    something is terribly wrong with you, nahisi umetumwa wewe !!!!
  17. F

    Chadema kuanguka chali

    pumba !!!
Back
Top Bottom