Search results

  1. U

    TCRA yawataka wasimamizi wa makundi ya WhatsApp kuiga mfano wa mtandao wa JamiiForums

    Members, please find the link below for Tanzania Cyber crime Act 2015 for your information:
  2. U

    Plot for sale at Iwambi, Mbeya -Sqrm 9200 Zaidi ya eka mbili

    Bei ni milioni 140 Mapatano yapo
  3. U

    Plot for sale at Iwambi, Mbeya -Sqrm 9200 Zaidi ya eka mbili

    Kiwanja kilichopimwa na title deed yake chenye zaidi ya eka mbili kinauzwa. Plot ipo Iwambi, Mbeya. Eneo linafaa kwa godwn, apartment, hostel nk. kwa mawasiliano piga no 0754895153
  4. U

    Natafuta Meneja wa Pub/Bar

    Wadau Ninatafuta mtu anayefaa kusimamia shughuli za Pub/Bar iliyopo maeneo ya Kigamboni-Maweni Area mwenye sifa zifuatazo: 1.Mwaminifu na mwenye kujituma 2.Elimu isiyopungua kidato cha nne 3.Mzoefu 4.Mwenye uwezo wa kujenga mahusiano mazuri na wenzake Kwa yeyote anayehitaji kazi hiyo, tafadhali...
  5. U

    Kampeni ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya kijamii na Mawasiliano

    Sheria ya EPOCA hii hapa Legislation Nawasilisha
  6. U

    Hakimu wa kesi ya Lwakatare yupo likizo, dhamana imeshindikana kutolewa

    Kwani huyo hakimu akifa sasahivi, inakuwaje? naomba ushauri
  7. U

    Wataalamu wa teknolojia waichambua video ya Lwakatare, baadhi wadai ni halisi!

    Kwa dunia ya leo, lolote linawezekana-feki au kweli
  8. U

    Wazee Mtwara wataka katiba mpya impe madaraka zaidi Rais

    Wazee hao wanadhani Raisi hasikilizwi an watendaji wake
  9. U

    HOTUBA ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani - Wizara ya Nishati na Madini 2012

    Ni vizuri tukazichambua kampuni hizi zilizopewa tenda. BRELA mpo?
  10. U

    HOTUBA ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani - Wizara ya Nishati na Madini 2012

    Oryx na Camel ni za nani? Brela watusaidie hilo.
  11. U

    Makubaliano yaliyofungua ukodishaji mkubwa Ardhi Mpanda (Unaotetewa na Mizengo Pinda)

    kukodi eka moja ya kulima ni kati ya shilingi 10,000 hadi 50,000 kienyeji. sasa sijui hizi rate zao wametoa wapi.
  12. U

    Lengo lilikuwa ni Mbunge si kura

    Nadhani sisi watanzania tunaishi katika Tanzani tofauti sana na nadhani kuna tanzania mbili-ya wanaokula kwa ccm (3%) na wanaokula kwa jasho lao (97%). Hivi kwa hali ilivyo leo, unaweza kushabikia uwezo wa CCM kututoa katika hali hii tuliyonayo? Naomba wana JF tuwe wakweli na si ushabiki tuu...
  13. U

    Natafuta nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala mwisho, Tandika, Mtoni kwa azizi ali

    Tafadhali mnisaidie kutafuta nyumba ya kununua Mbagala, Tandika au Mtoni.
  14. U

    Natafuta kitabu cha Hekaya za Abunuwasi

    Ndugu wan JF, Natafuta kitabu cha Hekaya za Abunuwasi; yeyote aliyenacho naomba anijuzu ili nifanye malipo yake. Au kwa msaada unaweza kutia hapa JF kwa pdf. Natanguliza shukrani za dhati
  15. U

    Jairo awatikisa Kikwete, Pinda; Luhanjo, Ngeleja ‘kubebeshwa msalaba?”

    Ndugu zangu wa JF, nimesikia kuwa hawa jamaa wawili walisoma pamoja. Naomba mwenye ukweli wa haya anijuzu.
  16. U

    Baraza la Mawaziri "kuvunjwa"

    Mwanahalisi ya leo imeripoti kuwa kunauwezekano wa baraza la mawaziri kuvunjwa muda wowote baada ya kwisha kwa vikao vya Bunge. Kwani JK ameona kuwa halimsaidii kutatua matatizo ya wananchi
  17. U

    Ndoa Hii Inaweza Kuvunjwa??

    Hiyo siyo ajabu kwani hakuna tatizo ambalo ni jipya hapa duniani. Utatuzi wa matatizo unawezajuwa mpya. Napenda umwambie binamu yako kuwa ndoa kama hizi ziko nyingi tu na wanishi kwa amani bila watu wengine kujua. Cha muhimu hapa ni wao kukaa chini na kulijadili hili tatizo na kupata ufumbuzi...
  18. U

    Waraka wa Makamba kwa Ngeleja

    someni waraka huu muone madudu ya Tanesco
  19. U

    Waraka wa Makamba kwa Ngeleja

    Mambo ya navyoendelea ndani ya TANESCO kama yalivyoainishwa na January Makamba. Bofya hapa
  20. U

    Nimeamua kuwatetea Lowassa, Chenge na Rostam

    Si wamwage tu mboga
Back
Top Bottom