Search results

  1. N

    Tanzania’s Elizabeth Maruma Mrema appointed as Executive Secretary of the U.N. Convention on Biological Diversity (CBD)

    United Nations Secretary-General António Guterres has appointed Elizabeth Maruma Mrema of Tanzania as Executive Secretary of the U.N. Convention on Biological Diversity (CBD), which is based in Montreal, Quebec, Canada. Congratulations to our sister Elizabeth! Hongera Tanzania. Huyu Mama...
  2. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Kama ni one way ina range around 200K +. Sent from my FIG-LX1 using JamiiForums mobile app
  3. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Upo sahihi mkuu kwamba Airbus haiwezi kushuka Ars airport. Ni ndege ndogo size ya Precision tu. Fast jet haipo tena. Lakini kumbuka KIA ina serve Jiji la Ars. Hao abiria from 7 flights per day ni wa Ars. Hapa nakupa data za uhakika maana nipo kwenye hiyo sekta. Ask me anything about this...
  4. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Precisionair inashuka ars airport mchana. Kwa vyovyote vile ni vigumu kuelewa haya mambo ya anga na routes zake ikiwa unapanda Zakaria bus...
  5. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Mkuu tema mate. Huku kuna airport mbili KIA na Kisongo. Asbh saa 12, 2, 4, saa 8 mchana, 11jioni na saa mbili usiku ni KIA-DAR/DAR-KIA. Na saa sita mchana ni Dar - Ars(Kisongo) Airport. This mean, kuna flights zaidi ya mara saba route ya ARS/KIA - DAR kwa siku. Nasisitiza there is no airport...
  6. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Seriously. Maana umeitendea haki Jiji letu. Ntakutembeza kote kama mtalii ili uendelee kuwa balozi mwema wa Atusha
  7. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    What a comment comrade! Umemaliza chief
  8. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Mkuu kwa ufupi sana, Mwanza ni Ngarenaro ya Arusha. Nimeenda Mwanza 9times. Hivi mwanza kuna hoteli ngapi za maana kama sio mbili tu (Malaika na Tilapia)??? Wanitajie zingine hata mbili tu kama zipo. Wasitaje guest house[emoji13]
  9. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Big but irrelevant. Media gani ina broadcast news za juzi badala ya leo? Sahara media group ya zamani ikoap? Kiss FM ikoap? Radio Free Africa ikoap? Who is watching Star TV to be honest? Mwanza airport sio International airport, ni airstrip. This at least am quite sure. Ni majuzi tu kwa mara...
  10. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Achana nao. Sisi waelewa tulishakusoma kabisa.
  11. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Naam! Umemaliza Mkuu. Naomba nikuhost next time
  12. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    In fact in Africa and worldwide, ni majiji mawili tu ndo yanafahamika Tanzania; Arusha na Dar. No one else knows Mwanza except you and myself [emoji12]
  13. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    2. Usafiri upi? Airstrip? 3. Media zipi? Sahara group? (irrelevant media)
  14. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Maendeleo hupimwa kwa wingi wa watu?
  15. N

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Mwanza haioni ndani kwa Arusha by far...Arusha kuna viwanda vya A2Z tena kubwa sana, kiwanda cha madawa ya mifugo inayosambaza dawa katika nchi za Rwanda, Zambia, Uganda, Malawi, Kenya na Burundi. Kuna kiwanda cha Alizeti na viwanda vya usindikaji maziwa na nyama. Na viwanda kibao. Kesho ntaweka...
Back
Top Bottom