Search results

  1. S

    Vifaranga vya kuku viwekewe majiko ya kuvipa joto hadi umri gani?

    Chanzo cha joto, huwekwa kwa vifaranga sababu kubwa ikiwa kuwaepusha na baridi kwa sbb kwa umri wao wanakuwa hawana manyoya ya kutosha ya kufanya waweze kuhimili baridi wenyewe. Kwa hivyo mara nyingi tunaweka vyanzo vya joto kwa vifaranga mpaka pale tutakapoona sasa manyoya ya kutosha...
  2. S

    Je, broiler grower inawafaa sasso?

    Haiwafai kaka, grower ni chakula cha kukuzia. kinawafaa kuku wakubwa kuanzia wiki 3 kwa (broilers) hadi 6. kwa sababu nutriotional components na ukubwa wa pellet unaleta maendeleo na ukuaji unaotakiwa kwa hao kuku wakubwa. vifaranga wanahitaji diet yao kwa sababu ya udogo wao wa kuingiza chakula...
  3. S

    Tubadilishane mawazo juu ya QNET Business

    Rafiki yangu 1 tumeshafanya kazi nyingi sana, halafu tunaheshimiana sana, alinipigia akaniambia ana shida ya kuonana na mimi anipeleke mahali muhimu sana, sikumkatalia nikaenda. Nilipofika na kukutana na mambo ya Goodmorning ile saa 1 usiku, na habari nyingine ambazo sijawahi kuzisikia. baada ya...
  4. S

    Formular ya kutengeneza chakula cha kuku (Broiler Starter)

    Mkuu nashukuru kwa formula, Kama hautojali unaweza kufafanua kidogo, kwa maana ya gharama ya kila ingredient inayotumika kutengeneza chakula, ili angalau kupata picha ya gharama inayoweza kufika kwa mfuko 1 wa chakula? ili kuona na kulinganisha pengine formula inaweza kufaa ili kupunguza makali...
  5. S

    Changamkia Kiwanja hiki!

    Habari za muda huu waungwana!Picha hiyo hapo juu ni moja kati ya picha zinazoonyesha Kiwanja ambacho KINAUZWA maeneo ya Mbagala Chamazi, Kwa bei ya Tshs 10,000,000 lakini bei inapungua KIMEPIMWA na kina JENGO hilo hapo linaloonekana, MAKABRASHA yote kuhusu hicho kiwanja yanapatikana yakihitajika...
  6. S

    Kiwanja kinauzwa

    Sio kweli kuwa unajenga chumba kimoja na choo huo ni mtazamo wako.
  7. S

    Kiwanja kinauzwa

    Habari wana JF! Kuna kiwanja maeneo ya chanika kwa singa kinauzwa. Ni cha miguu 17 kwa 17, Kutoka kwa singa mpaka kilipo ni mwendo wa dakika 12 hadi 15 kwa miguu. Bei ni 2 millions inapungua atakayependa tuwasiliane kwa namba 0712 541434. Ahsanteni.
  8. S

    Broken hearted

    Me naona huyo dada hana haja ya kujiuliza maswali mengi na kuzidi kuumiza kichwa chake, Cha msingi ni kuachana na huyo jamaa na kuangalia mambo mengine ya msingi ya kufanya.
  9. S

    ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

    Nilikuwa nausoma mchezo! Sina la kusema ila mada nzuri! IMECHANGAMKA, FL1 umeleta balaa.
  10. S

    Hello JF Members!

    Nashukuru kaka/dada kwa kunikaribisha, lazima niweke kwenye kumbukumbu zangu ondoa shaka.
  11. S

    Hello JF Members!

    Kiukweli Am Glad leo kuwa member HALALI wa JF, Ni kwa muda mrefu nilikuwa naitamani nafasi hii ya kuwa mmoja wa WADAU wa jukwaa hili, nikaona kwanini NIFE na MAUMIVU yangu?Kwa hiyo 1 namshukuru Mwenyezi kwa kunipa moyo wa ujasiri wa kuamua kukutana na WAUMIZA VICHWA WENZANGU kwa sababu naamini...
Back
Top Bottom