Search results

  1. Ayanda85

    Safari ya Bulicheka na mke wake katika nchi ya Wagagagigikoko.

    Mbona nikitaka kudownload app yako siipati?? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  2. Ayanda85

    Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    Dave the fighter. Nakukubali sana jirani, kwa sie tunaofanya kazi na wewe huku Tanga tunautambua uwezo wako 'upstairs' BTW ametoa namba zake kwa watakaoguswa kumchangia anataka kununua kiti cha umeme (kama sijakosea) kitakachomsaidia kwa urahisi kuliko alicho nacho sasa. Tumuunge mkono mpambanaji
  3. Ayanda85

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    We hujamuelewa....anamaanisha njia fupi huwa ni njia ndefu 'Wrong' sio mahali pake hapo
  4. Ayanda85

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Aisee kweli, humu kuna much know pro extra max, yani ni wanakomaa sijui ma agent wa kuzimu chaaah Ukijaribu kupambana nao umeharibu, lazima nafsi itibuke
  5. Ayanda85

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Lwanda uhi!??? Mghoshi iwe imi nkunda hadishi ako kweikwei ( hangi ni hadishi hangi ni mbui za kwei aaah uteiza mwenye)
  6. Ayanda85

    Simulizi: Nini maana ya mapenzi

    Hii story jamani nimeipenda mnooo Yan segments za mama Erica zilikua zinanichekeshaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna moja hiyo eti " Erica mwanangu rudi nyumbani nimekukumbuka sana, yani mjomba wako ameniuliza hivi tulisomesha mtu au paka[emoji28][emoji28].... daah asante mtunzi, nawe...
  7. Ayanda85

    Simulizi: Utajiri Wa Damu

    Asante Shunie love[emoji7]....kastory kashununuje, ndio kwanza nipo episode ya 10 ila nshadata nayo[emoji8][emoji8]
  8. Ayanda85

    Filamu ya Escape from Pretoria ni nzuri?

    Nitaitafuta hii move just because of your brilliant narration[emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ayanda85

    Simulizi: Mke Wangu Juliana

    Basi nkakuta mi reply ya kufa mtu nkajua imeendelea kumbe soga jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnatutesa kisaikolojia maghost mjue[emoji22] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ayanda85

    Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mtu Mungu anakuona Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ayanda85

    Simulizi: Mke Wangu Juliana

    Woiiii sie bana mie Ayanda muhenga mwandamizi humu[emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ayanda85

    Simulizi: Mke Wangu Juliana

    Hadi tunakua wakali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chezea uraibu Kwa niaba ya maghost wenzangu tutaanza kulike kila post ili kukupa morali fanani wetu[emoji4] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ayanda85

    Simulizi: Mke Wangu Juliana

    Na mie ghost follower wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mana navokufatilia ni balaa story zote nimooo kasoro nasahau kulike[emoji85] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ayanda85

    Nipe jina la muvi au series nitakupa

    Mie One tree hill mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ayanda85

    Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

    We umetukana haki si kwa muunganisho huu wa maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  16. Ayanda85

    Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    We mtu umenichekesha sana khaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Ayanda85

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    Daaah wimbo wao...yaani Gadner kapata pigo kali sana R.I.P Kibonde
  18. Ayanda85

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umesababisha nionekane chizi huku kitaa
Back
Top Bottom