Search results

  1. consigliori

    Who is your best football commentator?

    Peter Drury, the poet
  2. consigliori

    Nyingine ya kufungia mwaka: Mzee Mwanakijiji awaombe msamaha wananchi

    Duh Kweli moyo wa binadamu ni kichaka, hata wewe MMM, sikutegemea. Au kuna mtu anapost kwa account ya MM bila yeye kujua?
  3. consigliori

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Hata kiswahili kina mpa shida!
  4. consigliori

    Kwanini tutumbue majipu gizani?

    Very sad, sijui Tanzania inaelekea wapi. Naona mikono ya viongozi wetu ipo busy kuivuranga nchi yetu. naona Mungu pekee ndo atatunusuru, kwa sababu wana wa giza wanazidi kuwa na maguvu dhidi ya watoto wa nuru.
  5. consigliori

    UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Mkuu ushauri mzuri sana huu, UKAWA wasipouzingatia nitawashangaa
  6. consigliori

    Hujuma dhidi ya UKAWA kuelekea Oktoba 25, kuwa wa Kwanza kujua

    Mkuu Ben, wakati mnafikiria kupambana na mkakati ovu, msisahauni mikakati yao mingine kama Kuzinduliwa kwa mradi wa mabasi yaendayo kasi siku chache kabla ya uchaguzi. Anzeni kuya pre empty mambo kama haya pia.
  7. consigliori

    Dr. Slaa kesho atasema nini?

    Dr kafanya kazi nzuri kuijenga CDM, but anachokifanya sasa hatukukitegemea kwa mtu kama yeye. Yaani kawa mfanya propaganda wa CCM. Kwa hili kafanikiwa sana kwa kujifanya yupo neutral.
  8. consigliori

    Eti 'Mpe wa Nyumbani Yule'.....

    Usihamishe goli, wa nyumbai ndo kilikuwa kigezo kwa huyo mdada
  9. consigliori

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Nasikia police wamewazuia CHADEMA kuweka jukwaa pale Jangwani, wanadai waenyeshe kibali cha UJENZl!
  10. consigliori

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Too wordy, ungeweza kutuandikia kwa kifupi tukakuelewa
  11. consigliori

    Rais Kikwete aenda Uswisi

    Mkwere ana mambo kweli kweli
  12. consigliori

    Insurance Sales/Marketing person needed

    If you are inerested, call 0713771212
  13. consigliori

    Bungeni: Serikali yakiri kudhulumu watu

    Nyerere atabaki kuwa ndo baba wa taifa hili, hizo chuki zako utaingia nazo kaburini. Nakusifu kwa jitihada zako za kumkweza vasco dagama
  14. consigliori

    Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    Mwaka huu tutayajua mengi. Nyuma ya ACT kuna siri nzito sana. Only Time Wll Tell, tusubiri
  15. consigliori

    Vikosi maalumu 16 bora na hatarishi zaidi duniani, Tanzania ni ya tatu!

    Watanzana kwa kujidanganya, tunaweza hata kuambiwa siye ni tajiri namba moja duniani tukaamini, kisa umeona taarifa mtandaoni
Back
Top Bottom