Search results

  1. mkafrend

    Mbunge Vuma kuchana kitabu cha bajeti ni kosa kisheria?

    Mtu akitoka Musoma - Mkurya, Mtukitoka Bukoba - Muhaya, Mtu akitoka Kigoma - Mrundi - huwa nasikitishwa sana na kauli hizo za hao ndugu!
  2. mkafrend

    Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Kampeni hizi zikiendelea hatuwezi kufika salama - tuwe wavumilivu muda unafika na kila jambo litafanyika
  3. mkafrend

    Mbunge Vuma kuchana kitabu cha bajeti ni kosa kisheria?

    Anawakilisha jimbo la C'ancuzo? Acheni mambo ya kuvuana uraia - hilo nalo kwako ni kosa
  4. mkafrend

    TAKUKURU wakanusha habari ya Musiba, ni baada ya wao kuguswa

    Asante kwa ufafanuzi huo mrua - Mungu atawashindia dhidi ya hujuma zinazofanywa na wasiopenda maendeleo
  5. mkafrend

    Level seat imepuuzwa

    Nunua uwe unasafiri na gari lako (one); Waambie abiria wasipande yaliyojaa (two); Wasafiri waahirishe safari (three)
  6. mkafrend

    Watoto wanaotumika Kupokea Viongozi

    Ni mtoto wa taifa Tanzania Kama na wewe unataka wa kwako ashirikishwe tuma maombi Ikulu
  7. mkafrend

    Msajili wa Vyama vya siasa akimulike kikundi cha Green Guard ndani ya CCM, kimeunda jeshi.

    Acheni uongo uongo hapo ni South Afrika siyo Tanzania
  8. mkafrend

    Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

    Mleta uzi ni CDM damu damu - CCM tuko imara kama shilingi
  9. mkafrend

    Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

    CDM mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe - CCM iko imara anayesema nchi haina maendeleo mwambie:- (i). Aangalie umeme vijijini, (ii). Aangalie barabara za lami, (iii). Aangalie viwanja vya ndege, (iv). Aangalie maendeleo ya mawasiliano, (v). Aangalie elimu bila malipo, (vi). Aangalie mikopo...
  10. mkafrend

    Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Endelea kupotosha - JKT haikuwahi kuahidi kwamba wote wanapitia mafunzoni wataajiriwa Serikali inahimiza vijana kujiajiri
  11. mkafrend

    Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Ni kweli mtu ukiishiwa hoja lzm utafute defense mechanisms - wewe umeopt matusi! Tuache kampeni kabla ya muda!
  12. mkafrend

    Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Mbona tangu umwonee wivu JPM na Serikali ya CCM hujaolewa? AU ndiyo unapitisha michango ya sendoff yako?
  13. mkafrend

    Rais Magufuli: Nilipokuwa waziri niliwahi kuteua mtu wa darasa la 7 kuwa meneja wa mkoa

    Safi sana kumbe hata Ildephonce Bilohe (darasa la saba aliyegombea urais mwaka 2015) huenda akala shavu
  14. mkafrend

    Mh Rais unachoniboa ni kujilimbikizia madaraka tuu

    China inaandaa watu takriban 10M kila mwaka kuwa wahandisi (Engineers) - Africa inaandaa watu takriban 10M kuwa wachungaji (Pastors) wa madhehebu mbalimbali kila mwaka Binadamu utaanguka sababu kuna sehemu uliteleza!
  15. mkafrend

    Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Mazombie! Hivi wenye akili walioko CDM ni wepi - kuruhusu watawala wa kimwinyi ndiyo ufahari wenu?
  16. mkafrend

    Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Raha pekee ya siasa na itikadi ni kujificha kwenye kichaka cha karanga! Kwamba mtu unashindwa hata kuutafsiri wakati
  17. mkafrend

    Unyama: Wasiojulikana wavamia nyumba ya viongozi wa CHADEMA wanaoratibu ‘CHADEMA ni msingi’ Morogoro Usiku huu

    Tunafanya siasa za kishamba! Mungu atuhurumie bure - God and Time!
  18. mkafrend

    Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Kwani unatembelea maneno ya Kitila Mkumbo? Ukiambiwa changanya na zakwako - hata huyo dada unayemshabikia mwenye fulana yuko ccm
Back
Top Bottom