Search results

  1. baro

    Kwanini Makonda anafuatwa na viongozi wa dini kuombewa sana?

    Viongozi wa kidini Wana Macho ya Kiroho kwa Makonda , sababu ni Rais ajaye ila anapigwa vita kotekote huyu ndiye Musa wetu wa baadae
  2. baro

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kwani Iran Hana Nukes?
  3. baro

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kazi ipo, ila naona hii itazaa may be WWW3 ambacho hakijulikani ni Iran ana SILAHA gani za maangamizi Maana Yuko tayari kuzitumia
  4. baro

    Iran yaishambulia Israel, sarafu yake yaporomoka kwa kiwango cha ajabu

    Yaani unaumia na Iran ambayo Iko ulimwengu wa kwanza unashindwa kuumia na Tanzania ambayo hata Pini tunaagiza nje?
  5. baro

    Iran yaishambulia Israel, sarafu yake yaporomoka kwa kiwango cha ajabu

    Ukiwa na Akili vikwazo sio issue tumeshuhudia kwa Urusi ila vikwazo vinafanya kazi kwa shithole county kama Yako Iran vikwazo wameshazoea
  6. baro

    Paul Christian Makonda, the terminator, the true leader

    Kigera Etuma , kwenu sehemu gani?
  7. baro

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Makonda ndiye mtu pekee anayeweza msaidia Samia , ambaye amezungukwa na genge la Msoga ambalo halimtaki kwa Sasa Samia awarudie kundi la Magufuli na kuachana na Msoga hili kundi la Magufuli ndilo la kumvusha
  8. baro

    Ndani ya miezi mitatu kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri

    Alikosa ushahidi wa kufanya total reform ila kwa Sasa anaonekana kapata ila Sasa ataanzaje , Makonda ni kisemeo tu
  9. baro

    Sekretarieti Nzima ya CCM ikiongozwa na Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Kuitetemesha Nchi kwa mikoa sita kuanzia kesho Mkoani Katavi

    Nasikia kwenye mkutano wananchi wamemuulizia Makonda , Je ni kweli?
  10. baro

    Uzalendo unalipa sana Nyerere, Sokoine na Shujaa Magufuli wako wanaishi Mioyoni mwa Wananchi!

    Tunamkumbuka kwa mazuri na Chato kwenye kaburi lake pamegeuka hija Kila Kiongozi anayetaka ufuasi lazima aende pale
  11. baro

    Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

    Hata waajiri wake wa Sasa ni waarabu hapo vipi?
  12. baro

    Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

    Hazielezi Jamii nyingine , ila kwa uchache katika vita kati ya TIAMAT na hao Miungu wengine alisaidiwa na Majini ambao waliitwa HELPER So, inawezekana kabisa Jamii nyingine zipo ila NIBIRU ilikuwa blessed kuliko Sayari nyingine Na Cha kuongezea ni kwamba hizi ,TIAMAT, Lahamu ,Lahmu n.k zote...
  13. baro

    Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

    Sio tofauti, Igigi walikuwa ni Anunaki ambao ni Askari waliokuwa katika kituo Cha Anga huko Mars , wote ni Anunaki ila wao waliitwa Igigi kutokana na Kazi zao
  14. baro

    Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Mabaki ni hizo tablets /manuscripts ambazo zimegunduliwa , ANUNAKI walikuwa wanazikwa kwao NIBIRU sio duniani, wengine walizikwa Sayari ya Mars
  15. baro

    Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

    Ni story tu katika Sumeria Manuscripts , Igigi walikuwa wanaishi katika Sayari ya Mars , wakawa wanatamani viumbe (Binadamu) wa duniani hivyo walishuka Igigi 200 Hawa walikuwa kama Askari wa ANUNAKI wakiongozwa na Shemzay ambaye Biblia imemtaja kama Shemzaya Hawa waliwateka wanawake 200 na...
  16. baro

    Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Umesahau kitabu Cha THE LOST BOOK OF LORD ENKI
  17. baro

    Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Unaweza kuwa sahihi kulingana na chanzo chako lakini zote ni Sumeria Manuscript, hivyo endelea kutafiti zaidi utagundua ukweli wa haya majina unayoyakataa
  18. baro

    RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

    Chadema kwa Sasa content itakuwa Makonda mtaondoka kwenye agenda za Katiba mpya
Back
Top Bottom