Search results

  1. J

    pongezi kwa wizara ya utalii

    UNAWEZAJE KUWAALIKA WATALII KUTEMBELEA TANZANIA KUONA SERENGETI NA WAKATI HUO HUO UNAJENGA BARABARA KUU YA KIBIASHARA (UKIDAI KWA KUWA KIPANDE KIDOGO CHA KILOMETA 54 HAKITAWEKWA LAMI) KUKATISHA SERENGETI - UKIJUA FIKA KWAMBA BARABARA ITAHARIBU UOTO ASILI, NI HATARI KWA WANADAMU NA WANYAMPORI...
  2. J

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Maoni ya ziada kuhusu barabara hii: Kwanza nyanda za Serengeti na za Umasaini (Serengeti Plains and Maasailand) hivi sasa zina utata kuhusu umilikaji wa ardhi kote Tanzania na Kenya; wenyeji wakidai wamenyang'wa ardhi yao asili! Si wa-Masai tu, bali pia makabila mengine. Kwa Tanzania, kuna...
  3. J

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    This is to inform all interested parties that the FaceBook page which was 'blocked' almost two weeks ago regarding the controversial Highway intended to be built by the Government of Tanzania (STOP THE SERENGETI HIGHWAY) has now been officially 'UNBLOCKED' by the FaceBook administration. The...
  4. J

    Gauni la nyama (Lady Gaga)

    Mjiulize, baada ya awards kumalizika - nani waliokwenda dinner kwa Gaga?
  5. J

    Consequences of not having SEX for long time.

    Kwa hiyo tuseme kuwa vyura wa Kihansi ni matokeo ya kushindwa kuvunja amri fulani fulani, au?
  6. J

    Train's zetu huku duniani

    Tusiwacheke india - tushukuru hatujapigwa picha za kwetu - in any case, kwani tunazo??
  7. J

    Destroy ivory to curb poaching, PM urges Tanzania

    Majuzi (11 Septemba 2010) tumesoma taarifa kwamba kontena mbili zenye takriban meno ya tembo 365 zilikamatwa bandarini Hong Kong na maelezo yanaonyesha kuwa shehena hiyo inatoka nchini mwetu Tanzania! Sina hakika kama mzigo huo unatokana na uvujaji/wizi kutoka ghala ya serikali 'ivory room'...
  8. J

    Tanzania's Threat Over Ivory Ill Advised

    Nisaidieni: mada ya hapa ni nini? U-Kenya?, U-Tanzania?, Ujirani (mwema/mbaya)?, Jumuia? Meno/Pembe ya/za Ndovu? Mawazo binafsi? Smatta ka-boil, na ukibishana na mjinga, nani atamtambua mwerevu? Kama tunakubaliana na maoni binafsi, THEN IT IS MY PERSONAL VIEW THAT THERE IS NO WORTHY VIEW FOR...
  9. J

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    (Ubungo)2, huyo Mkenya ni yupi, ili tumjue (asitudanganye hata akisema ukweli, ili mradi ni Mkenya tu, basi anadanganya?) Pia hamfahamu kwamba hulka ya kwanza ya asiye na hoja ni kutafuta mgomvi wake? Ni nani huyo aliyewahi kutamka kwamba Afrika ni kwa ajili ya wanyamapori, misitu, mapori na...
  10. J

    Elections 2010 Kinana aomba wasilaumiwe sana - "Tusiwachanganye wananchi"

    Mkuu, Bado sijaiona hiyo 'fault finding mission' hapa, wala 'finger pointing': Na hiyo 'trend' waliyoiweka si wengine bali chama tawala - inaitwa 'danganya wajinga kadiri uwezavyo'. Ghafla, wajinga wamepata kajielimu kadogo wakagutuka! Ndipo waongo wanahamaki na kutangaza takwimu, ahadi...
  11. J

    Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

    INAELEKEA MADA KUU YA MKUTANO HUU NI UCHAGUZI 2010. HIVYO NASHAURI KAMA KUNA WASHIRIKI WANA NAKALA ZA ILANI KUTOKA VYAMA MBALIMBALI KUHUSU MIKAKATI YAO IKIWA WATAPITA (NGAZI ZOTE KUANZIA DIWANI HADI RAIS) KWA MIAKA IJAYO, ITAFAA WAZIBANDIKE (attach) HAPA, TUZISHUSHE (download), TUZIPITIE...
  12. J

    Elections 2010 Wasifu wa Dr. Slaa: Download, SAMBAZA!

    Well received, well spread! Thank you
  13. J

    Malecela: CCM isihusishwe na ufisadi

    Njilembera, inaelekea muda mrefu hujaenda vijijini. Kule tamko la kiongozi wa chama tawala ni sawa na agizo la serikali. Vijijini hawaalikwi kuhudhuria vikao - wanaambiwa waende! Usiposhiriki unatengwa, upinzani ni sawa na adui - wanaishi kwa woga wa kuiudhi serikali iliyopo madarakani. Wazee...
  14. J

    Misumari 13 Kati ya 24 Yatolewa Mwilini Mwa Housegirl!

    Buchanan, mbona taarifa hiyo ni ya raia mwanamke wa Indonesia, wakati aliyechomwa misumari anatoak Sri Lanka? Hata hivyo, taarifa zote mbili ni sahihi ki-matukio nchi za Arabuni. Pia nchi nyingine za kiarabu matendo ya ukatili kwa wafanyakazi wa ndani hufanyika. Hawa wanaojulikana mara nyingi ni...
  15. J

    Elections 2010 Hali ya "ugonjwa wa Kikwete wa Ahadism" yazidi kuwa mbaya

    WenyeNchi wnanasema 'takwimu hazidanganyi'; wanaaona ('vipofu') ie: wanaNCHI; wanasema 'mwenye njaa, mgonjwa, kijijini halishwi, kutibiwa, kusomeshwa, kuajiriwa au kuvishwa na takwimu'. Toka lini Ikulu ye yote duniani inaweka 'orientation period' ili baada ya uzoefu ofoisini (ambapo pia hukai...
  16. J

    mr PREZ..

    JAMANI, AMEANZA KUKAA 'FRONT SEAT' KAMA WALILIA-KIFO WA KAWAIDA? Hivyo tukubali Raisi wetu ni Mtu wa Watu, au?
  17. J

    Tz daima, mwanahalisi, raimwema hayapo tena hewani!

    Mimi nimepata Daily News, The Citizen, IPP Media, Mwananchi ila nimeshindwa Mwanahalisi, Tanzania Daima, Raia Mwema. Yale mengine yasiyo mrengo 'unaokubalika' sina kawaida ya kuyatafuta, hivyo sijui kama yanapatikana. Lakini nadhani MwanaHaki ametufungua macho kiusahihi! Asante kwake!
  18. J

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Sawa, Tanzania IS a sovereign state, and they deserve the right to 'just do what they gotta do". But there is/are options that would allow a 'WIN-WIN outcome: A road could be built without destroying the ecosystem. That alternative has been strongly suggested, yet the government is adamant. One...
  19. J

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    No - walikuwa wamechanganya changanya kurasa za hotuba, very simply!
  20. J

    Elections 2010 Channel Ten: Hongereni, kumnaweza eee!!

    Kwa hiyo unatuambia CCM pia ni ENTERTAINERS au kama ni WATUMBUIZAJI, ni wa KIZAZI KIPI??!
Back
Top Bottom