Search results

  1. Mpambalyoto

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    Hapo pagumu, ndo kutokuaminika kwa JK kunapodhihirishwa
  2. Mpambalyoto

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    Nadhani kati ya Makamba na Nnauye kuna mtu kaoa dada wa mwenzie, I stand to be corrected
  3. Mpambalyoto

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    JK bwana, kama katuni vile
  4. Mpambalyoto

    Nape Kuzungumza Na Wanahabari Usiku Huu?

    Kuna watu hata wakivua roho, hawaaminiki
  5. Mpambalyoto

    Kikwete amuita Lowassa kwa mazungumzo ya siri!

    JK kapewa miaka 5 na 82% kapiga sound tu no content, sasa atafanya miujiza ya Babu na 61%
  6. Mpambalyoto

    Watoto waletwa kujaza viti Karimjee Hall-Katiba

    Unawatafuta? Wamelala fofofo wanagawana wanawake na wanaume. Akili zao kama za watawala wao!
  7. Mpambalyoto

    Zitto kugombea urais 2015?

    Mkuu Ikifika miaka hiyo kijana atakuwa na kibarua kigumu kuliko maelezo. Nyota zaitakuwa nyingi zaidi
  8. Mpambalyoto

    Mnyika, Zitto na Regia: Tupeni mchanganuo wa hela zinazolipwa kwa Mbunge ili tujue

    Wahesimiwa wabunge mnapata homa kali kwenye hili la kutaja maslahi? aaaaaaaaggggggggggggggghhhhhhhh!!!!!!!!!!!!! Hongera Regia
  9. Mpambalyoto

    Nani ni waziri wa wizara ya Nishati na Madini, January Makamba au William Ngeleja?

    Siku nitakapothibisiwa kuna tofauti kati ya William Ngeleja na January Makamba, ndio nitaweza kuchagia hoja, kwa sasa:hand:
  10. Mpambalyoto

    kufumania

    Huwa hakuna maandalizi ya kitakachotokea. Kitatokea kitakachookea eneo la tukio
  11. Mpambalyoto

    Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

    Hivi wewe Darwin ni mwanaume wa karne ipi? Ni kaka wa Zinjanthropas au? Kabla hujasema huyapendi thibisha kuwa wewe huyatendi hayo kwa mwenzi wako
  12. Mpambalyoto

    Amekutwa na ky jelly!

    Ukimchunguza bata humli ng'o!!!
  13. Mpambalyoto

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Hawa wenye hizi TV LABDA mpaka ziwe kampeni za siasa, wahongwe au walipwe na UNDP ndo wataonesha!
  14. Mpambalyoto

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Kama usiku hali ni hii, asubuhi kukikucha tutashuhudia maajabu
  15. Mpambalyoto

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Inabidi watu tuelewe kususa au kutoka nje ni njia ya kuonesha kutokukubaliana. Nadhani CDM wamefanya hilo kwa nia hiyo. Hawajasusia mkutano wa bunge bali upitishwaji wa kanuni. Anyway, it was such good drama
  16. Mpambalyoto

    Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

    Ni ngumu kusema kwa nini wanaume waliooa wanakuwa na wanawake wengine. Sababu ya hili ni luluki kama ilivyo kwa wanawake wasiotaka ndoa bali wanaume waliooa. Kuna uhusiano wa moja kwa moja hapa kati ya hizi tabia mbili
  17. Mpambalyoto

    Mh. Jakaya Kikwete: Upole, Udhaifu na Ukimya wako unatuumiza Watanzania!

    Mkuu unanyonga lugha ya Kiswahili rekebisha hizo l uweke r. Pili ukitaka kusema au kutuaminisha wewe ni msema kweli au ukimaanisha Jk ndio msema kweli unapoteza muda you are both dissimulators/hypocrites. Kama alivyoainisha Alberto na wengine hapa, Jk ameonesha udhaifu mkubwa sana katika uongozi...
  18. Mpambalyoto

    Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

    Mkuu ukishataja guest kama eneo la tukio hata utetezi unapungua nguvu
Back
Top Bottom