Search results

  1. S

    Saloon za kike Kichaka cha umbea???

    Aaaaah.....pole kama nimekchoma kula hiyo kidogo WIMBO WA CHAJA YA KOBE......Uburudike na weekend
  2. S

    Tangazo la msiba wa bw George Kilave

    Familia ya Bwana Gabriel kilave wanapenda kutangaza kifo cha kaka yao BW GEORGE KILAVE kilichoteka huko INDIA Habari ziwafikie ndugu jamaa wote wanaomjua bw kilave washarika wa KANISA LA ASKOFU KAKOBE,ASKOFU KAKOBE NA WENGINE WOTE!!!BWANA AMETOA BWANA AMETWAA
  3. S

    Burian bibi anna kipingu 1926-2010(bibi kokooo)

    Wpendwa katika bwana napenda kutoa shukran kwa wale wote walioshiriki pamoja nami katika kumwaga bibietu bibi anna kipingu alietwaliwa na mungu katika ulimwengu wa dunia hii na kwenda kuandaa makao huko mbinguni Tutakukumbuka bibi kwa mapenzi yako na msaada wako wa mawazo kwa zaidi...
  4. S

    Sinza inafaa kupewa hadhi ya jiji

    Hakika kama umepita sinza hutosita kuungana nami kwamba sasa sinza inaitaji kuitwa jiji la sinza nimepita kila sehemu imekidhi kila haja ya mtanzania kwa kila maitaji ya mtanzania....kwa wale wahusika hapo juu tunaomba sinza ipewe hadhi ya jiji la sinza kama dar es salaam natumaini sala na...
  5. S

    Namtafuta mume wangu!!!!

    mmmhh waweza kuhisi ni utani ila hii ndio hali halisi dk kadhaa zilizopita nimeona matangazo ya BANGO ...MAMA AITWAE VALERIAN KABUJE anatangaza kupotelewa na mumewe alietoweka nyumbani kwao mwaka 2005 kwa kumwacha akiwa na mimba na watoto 4..mumewe anaitwa....Gkabuje Huuuuuu natumaini ajaenda...
  6. S

    Alex kajaumulo kuidhamni maji maji-aapa kuwapeleka marekani kwa mazoezi

    hatimae yul bwana aliekuja na mikwara mingi sana kutoka marekani na kuanzisha timu ya kajumulo na kuishia kushindwa kuifadhili mwisho kusahalika kabisa bw ALEX KAJUMULO amerudi tena wakati huu amekimbilia songea na kuomba udhamini juu ya majimaji bw kajumulo amesema lengo lake lilikuwa...
  7. S

    Ajira ya tanzania imegubikwa na rushwa tupu --mzee mwinyi(a.k.a. Ruksa)

    --ALALAMA UCHUMI UNAPOROMOKA --WATANZANIA WASIO NA SIFA KUKAMATA OFISI KUBWA NA KUACHA WENYE SIFA ---SERIKALI LAZIMA IWE MAKINI NA HILI ..VINGINEVYO TUTAJAZA MAPOPOMPO MAOFISINI Aliekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh rais mwinyi amelalama na kulaani ajira nyingi za tanzania...
  8. S

    Wanawake waandamana kupinga mafataki!!-songea

    Katika kuadhimisha siku ya familia dunian..wanawake wakiongozwa na eng stella manyanya wameandamana mpaka mlima matogoro kupinga ongezeko la mafataki na jinsi ama mbinu wanazotumia kuachiwa mahakamani baada ya kupelekwa na ushahidi kuwepo.... Msafara huo ulioishia mlima matogoro ukiongozwa na...
  9. S

    Wababa mlio nje ;watch out mnaliwa ma binti zenu DAR

    wale ndugu zanguni mlio nje ya tanzania..naomba muwe makini sana wakati mkiwaacha wake zenu ama gfriend ama wachumba inavyojulikana kuna jiran yangu hapa mbezi kwa kweli mumewe akifika anakuwa kama kama malaika alietoka kwenye sinagogi..lakini ukweli akiondoka jaman dada huyu ana mijamaa yake...
  10. S

    Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

    kwenye maombia siku zote mapepo lazima yaanze kuchomoka Nawatakia tena heri na fwanaka kaka na dada
  11. S

    Jamani hivi hii ni kweli?

    kwenye ndoa akuna kuambiwa INGIA AUCHEZE MWENYEWE wanaokwambia wanajaribu
  12. S

    Natafuta gari bei isizidi 6.5m

    www.jpanesevehicles.com ama kwa wahindi kwa bei hiyo mpaka chumban
  13. S

    Tizama ITV online

    ujanja kulipia tu
  14. S

    Tizama ITV online

    wakubwa mbona yanletea mambo ya kusaini ini
  15. S

    Kweli mnawalipa hivi watawala wenu? Kwa wanaojua hesabu

    Kuna mwenye diclofenac jamani anisaidie
  16. S

    Miss Tanzania bila "ukahaba" inawezekana?

    Huu mti mpwa umefanana na pam tree zilizowekwa kipindi cha mkutano mliman city kama zimepandwa miaka 5 iliopita kumbe ulikuwa usiku wa baraka dar ikapendeza
  17. S

    Miss Tanzania bila "ukahaba" inawezekana?

    Ungemalizia mwana wa mungu kuna yosefu matapeli wengi kweliiiiiiiiiihasa tandika na $$%%%nsiseme
Back
Top Bottom