Search results

  1. covid 19

    High income skills kwa mazingira ya nchi yangu Tanzania

    Tena imezikwa na kufukiwa kabisa..
  2. covid 19

    Video: Tayari Bodaboda kashafanya yake

    Mmh hii ni acting..
  3. covid 19

    Dr. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Kwani dr.sule ndio nani na huo udoctor ni wa darasan au ni a.k.a maana unaweza kuta unabisha na mtu wa kijiwe cha kahawa huwezi shinda.
  4. covid 19

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Mmh sidhani isee.. Mtu unaingiza billion 90 unaenda kujianika kwa sababu ya kodi ya 24 million. Hii mbona kama haingii akilini sawasawa
  5. covid 19

    Watumishi wa umma wapewe elimu ya kikokotoo wamechanganyikiwa

    Huwezi toa elimu wakati unatapeli watu huo ujasiri unautolewa wapi.
  6. covid 19

    TEMESA inailipa Azam Milioni 5 kwa siku

    Sasa hawa nao ni wajinga mbona ni hesabu rahisi sana. Kama unakusanya 5 bill na mbia analipwa bill 1.8. Kwa vivuko 2 Kwann usimwombe mbia (azam) akuletee kivuko kingine cha kuvusha vyombo vya moto then ukabaki kusimamia na ukapata faida maana utakuwa unamlipa 3.5 billion na utabaki na 1.5...
  7. covid 19

    Kwanini Makonda anafuatwa na viongozi wa dini kuombewa sana?

    Hata daudi alifuatwa na samweli ili aombewe sasa sijui daudi alikuwa na dhambi gani..?
  8. covid 19

    Amos Makalla: Leteni kero za kweli sio fitina

    Hii style yake sisi watanzania hatuipendi huyu hatadumu kwenye hicho nafasi chama kitapoa sana muda si mrefu..
  9. covid 19

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Sasa tatizo la mo hapo likwapi mtu anatoa billions msajili viongozi wa team wanazingua wenyewe.. Mnataka mo aje wasajili yy mwenyewe yule ni investor sio director wa team!
  10. covid 19

    Haya ni mambo 25 ambayo hujawahi kuyajua kumhusu paka

    Na hawa paka wanaolia km watoto usiku uwa wanawasiliana na nani?
  11. covid 19

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Eeh mbona hii style ni km show ya ma stripper wengi kwenye nightclub wanacheza alafu mwisho wanasanuka msamba hivyo..
  12. covid 19

    Jeshi letu lina ndege za kivita zisizo na Rubani?

    Unamaanisha nini maana hata drones hizi zilizojaa bongo ni ndege zisizo na rubani na zinaweza kutumika kama silaha vitani.
  13. covid 19

    Kwa hiki kilichotokea; Watumishi wa umma bora wafe tu

    Amevurugwaa huyo
  14. covid 19

    Unahisi ni sababu ipi zaidi inayofanya ndoa nyingi za vijana kuvunjika?

    changamoto za kiuchumi ni asilimia 90 hayo mengine ni ya ziada tu!
  15. covid 19

    Mwl. Nyerere Shujaa wa Afrika Asiyeimbika

    Kama ilivyo jina la muhasisi wa taifa halisikiki ingawa alikuwa na mengii makubwa ndivyo ilivyo kwa umaarufu wa nchi ya Tanzania hili jina haliwiki sana huko nje ingawa nchi ina mambo makubwa na mazuri sana.
  16. covid 19

    Nahitaji developer nitayefanya naye kazi zangu

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji developer anayejua kudesign website nitayefanya nae kazi zangu tafadhali nicheki inbox chap
Back
Top Bottom