Search results

  1. M

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Hakupenda kabisa! Ila wanasiasa walimwangamiza! Una la zaidi?
  2. M

    Mh Kikwete bwana!

    The president abjured the evil policies to antipathy the buddies cajoled. As such, his cupidity desiccated the contumacious for pragmatic. And to be honest, his abaxial jaspideous may dactylomegaly sooner than expected!
  3. M

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    Hata mimi nakubaliana na hii habari. Kwanini Manyerere aje na thread ya kutaka huyo jamaa akamatwe na hapohapo inaingia breaking news kuwa amekamatwa, tena mtoa habari ni huyo huyo manyerere? Manyerere haaminiki hata kidogo. Hii filamu imepangwa na hata huyo jamaa yupo. Kinachofuatia atajifanya...
  4. M

    Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

    Watu pori ni watu wa ofyo kabisa. Wakipata kakitu kidogo tu wanapiga makedhedhe mpaka dyunia yote inasikia. Padhe Kariakoo kuna fyijana wa nyumbani wana hedha dhakini huwesi kusikia wanapayukapayuka namna hii. Ndiyo maana kidha siku nasema mwanangu wa kyike kamwe hatakaa aodhewe na kyasaka.
  5. M

    Spika aongezewa ulinzi

    Haya baba Kiroboto
  6. M

    CCM haikusoma vyema alama za nyakati kwa Juliana Shonza

    Mkuu mengi ya uliyosema ni sahihi. Hii ni kali kabisa mtu mkubwa kama mwenyekiti (tena rais) kupokea makapi ya aina hii. Lakini usidhani hawajui ila maji yamezidi unga. Ni kama mtu mfa maji hata unyasi ataungangania. Na kwa upande mwingine ukweli ni kuwa watanzania ni watu wa mkumbo na wasiotaka...
  7. M

    CHADEMA, matusi ya nini? Mtu akihama ina maana mna kasoro, jiulizeni kwanza

    Wewe ni kubwa zembe! Nasema ni kubwa zembe kwa sababu mawazo yako saa zote yanawaza ngono na kupata fedha za mteremko! Unafikiria kufanya ngono saa zote na umejaa uvivu. Kwa ujinga na uvivu wako umeona uchukue shoti kati ya kumtongoza huyu Juliana. Meseji zote ulizokuwa unamtumia eti za ''kumpa...
  8. M

    Evarist Chahali, hili limenitisha!

    Watu kama wewe shuleni kwetu tuliwaita utumbo wa bata. ndio maana tunakuandikia kiswa-inglish ili uweze kusoma!!!
  9. M

    Evarist Chahali, hili limenitisha!

    hata kuandika kunakushinda. Bogas!!!
  10. M

    Evarist Chahali, hili limenitisha!

    Magamba wamezidiwa sasa wanajaribu ku-attack kila kitu
  11. M

    Hivi nyinyi swisport mtaacha lini kuwatia umaskini watanzania?

    Mkuu makosa yalitokea mwanzo. Mlipokamata mzigo na ushahidi na kuona habari haikutoka wala wezi kukamatwa mngeendeleza libeneke mpaka kieleweke. Sasa jaribu kufuatilia ngazi zote na kwa namna yote...
  12. M

    Global publishers - utapeli ??

    Kama kweli unalipa sh 500 ili usome magazeti ya aina hiyo wacha yakupate. Huna maana
  13. M

    Is this the end of CHADEMA?

    Mungu bwana wa majeshi na aufenye uwe ndio mwisho wako kwa usaliti unaowafanyia wanyonge wasiojua kujitetea.
  14. M

    TAARIFA ya kuvuliwa uanachama CHADEMA kwa Juliana Shonza(M/Kiti), Mtela Mwampamba na Habibu Mchange

    Babu wa kazi za majuu, bado hujatoelea maelezo zile kazi. Mimi na wewe, wewe na mimi. Usifikirie nitasahau!!!! Hata babu Jumanne akinibembeleza kama ulivyomtuma!
  15. M

    Rombo: Majambazi yawatoa lunch polisi

    Huyu mkuu wa polisi wa Wilaya ya Rombo ni maarufui kwa michongo. Masaa 24 yuko bar na wanawake. Ni namba nyingine kabisa. Hakuna polisi hapo.
  16. M

    Unataka Utajiri? Njoo Tunduma haraka!

    Mkuu na wewe ''unazungumzia kufanyia utafiti'' mambo yasio na hata chembe ya ukweli? Hizo ni hekaya ambazo kwa mtu aliyesoma shule na akaelimika hazitamsumbua sembuse kuwaza mambo ya utafiti.
  17. M

    Zitto & Dr. Slaa Kaeni kitako katika hili

    Hallo mwanzisha thread, Usijaribu kucheza na akili za makachero kama mimi. Wewe uliyeanzisha thread ama ni mkuu wa kikundi cha masalia au ni mfuasi wake. Na nia ya kuanzisha hii thread ni kuomba msamaha kwa njia ya ku-blackmail kama ambavyo mmekuwa mnafanya siku zote. Na wachangiaji wote wa...
  18. M

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Hivi ni vile vi-blackmail vya kijinga kijinga vya sampuli ya Kikwete alivyomtega nao Mkapa ili aweze kuhonga wajumbe wamchague. Nakuhakikishia kabisa bila wasiwasi wewe nje ya Chadema sio lolote ndio maana unaogopa kufukuzwa kwani utakuwa ndio kifo chako kisiasa. Nguvu yako sasa hivi inatoka CCM...
  19. M

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Haa haa haa!!!!!! Umeona ehe!!! Freshthinking = Pezzo = Gagula
Back
Top Bottom