Search results

  1. G

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    hivi lizaboni na msalani mna akili kweli au mnafanya comedy?
  2. G

    Revealed: Dr. Kigwangalla kanakili hotuba nzima ya Obama ya mwaka 2004 aliyoitoa Boston

    poor kigwangala. heri tu kwa mama kikwete ukalelewe. nimembuka siku moja ulipoongea kwenye bmk ujinga na upumbavu wa kila aina ukiponda takwimu zilizokusanywa na tume ya jaji warioba ili kuhalalisha uchakachuaji wa rasimu ya pili ya katiba. of course ulishangiliwa na kina ole sendeka na asha...
  3. G

    Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

    na wakati sekeseke hii inashughulkiwa, nyalandu na team yote ya majangili watie nywele maji maana issue hii nayo wahisani wameikomalia.
  4. G

    Dar Firm (VIP Engineering and Marketing) Account Seized in Holland

    waliokuwa wakurugenzi wa bandari na tanesco na wapambe wao tayari wako kisutu kujibu tuhuma za ufisadi. kwa spirit hiyohiyo, rugemarila, ana tibaijuka, werema pamoja na washirika wengine wanaotajwa wote wawajibike. na kikwete asikenue meno yake hovyohovyo kwenye jambo hili.
  5. G

    Serikali yashindwa kesi na Wachina walioshtakiwa kwa uvuvi haramu

    pamoja na yote haya kikwete amepewa tuzo nyingine ya an icon of democrasy.
  6. G

    CCM wazidi kujiumbua kwa kupinga muundo wa muungano sasa muundo wa bunge wawaumbua

    Kweli ujenzi wa mnara wa babeli (katiba) tayari unawaumbua ccm. Bunge la tatu kusimamia serikali ipi? Hivi watatumia njia gani kumwomba radhi warioba na tume yake kwa matusi yote waliyomtukana? Au kikwete atakuja tena anachekacheka kama hayawani aanzishe uongo mpya?
  7. G

    Baada ya kuacha kazi ITV/Redio One, Kitenge asaini mkataba E-FM Radio

    Na siku akifukuzwa atatungazia na kuweka na picha?
  8. G

    Walioanza na Kikwete wataondoka naye mwakani

    komba atarudi kwenye kwaya.
  9. G

    Walioanza na Kikwete wataondoka naye mwakani

    wakuondoka na jk ni wengi mno. muhongo, umi mwalim, maghembe, nyalandu, nkamia nk. bila kusahau zaidi ya nusu ya waliozawadiwa u-rc, dc na ubalozi. Wangelijua hili, leo wangeanza kutenda kazi vizuri kujaribu kumvutia rais ajaye. Maana jk ndo anaondoka hivyo.
  10. G

    Bila ushiriki wa UKAWA kwenye BMK, hakuna Katiba Mpya!

    ccm hawako tayari kujadili rasimu ya warioba kwa sababu:- kwanza, kama inavyojulikana wazi, maslahi ya mafisadi na wahafidhina ndani ya ccm yanatishiwa mno na rasimu hiyo; pili, kwao ni rahisi kuchakachua matokeo ya kura za maoni, hivyo ni salama kwao katiba itakayopendekezwa na bunge iwe ya...
  11. G

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    wanaomwandikia hii hotuba walishauriana naye? maana kuna jambo la tuzo yake hajaliongelea.
  12. G

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    maoni yake binafsi hakupaswa kuyatoa kwenye jukwaa rasmi la mkuu wa nchi kuzindua bunge. isitoshe, maoni yake si tayari alishatoa kwenye chama chake?
  13. G

    Waandishi wetu wa habari na lafudhi mbovu

    halafu kuna tatizo linaloongezeka kila siku la matumizi mabaya ya 'h' kwa maneno yanayoanza nayo na au 'vowels', mfano badala ya kuandika "ajali hiyo ilitokea siku ya sikukuu ya Idi" mwandishi anaandika "hajali iyo hilitokea siku ya sikukuu ya Hidi".
  14. G

    Shule za binafsi kuchangisha pesa ya madawati ni sawa?

    shule binafsi ni biashara kama biashara nyingine. na ndiyo maana karo zao ziko juu sana. kuchangisha wazazi kwa ajili ya miundo mbinu ya shule ni wizi kabisa. ni sawa na mwenye duka aje kuwachangisha wateja hela ya kujenga frame, kujaza bidhaa dukani na ya kulipia walinzi, halafu mwisho wa siku...
  15. G

    Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia Afrika

    yeye anazipenda na kuzifurahia kweli. kwani hamwoni yeye na wapambe wake wanavyokomaa na kumwita 'dk. kikwete' wakati msingi wake ni usanii tu kama wa hizi tuzo zisizojulikana. siku si nyingi mkewe naye atatunikiwa doctorate ya heshima kwa kuwa tu ni mke wa 'dk. kikwete'.
  16. G

    Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Ni makala nzuri sana inayofanya tufakari mambo kwa mapana yake pamoja na kuangalia nini kifanyike. mfano:- unafiki wa ccm kuhusu suala katiba mpya. si rais, wabunge, mawaziri, AG, aliyekuwa tayari kusikiliza kilio cha katiba mpya. lakin baadaye walipanga njama ya kuanzisha mchakato, wauhujumu...
  17. G

    Barua ya wazi kwa mh. Zitto kabwe

    chadema kwa nini hamonyeshi ukomavu kisiasa kila anapotajwa zitto? hivi hamuoni kama zitto kawazidi kwa busara kwa kuwakalia kimya? mlimvua vyeo nyie wenyewe, na mnadai mlishamfukuza uanachama. sasa mbona mnachachawa kila mkisia jina lake? kwa tabia yenu utadhan yeye ndiye aliyewafukuza chadema...
  18. G

    Kwaheri Rais Kikwete, tutakukumbuka Watanzania

    mtoa mada unajua kwa usahihi ulichokiandika? kwanza unaandika kwamba katika barabara zilizokamilika ujenzi wa lami mojawapo ni ya kigoma-biharamulo-lusahunga. Jambo hili ni uongo kabisa. Kipande chenye lami ni biharamulo na lusahunga. Pili unadai umeanza ujenzi sumbawanga - nyakanazi. Hivi...
  19. G

    Kikwete: Walimu wenye digrii kufundisha Shule za Msingi

    mimi nauliza salma kikwete kulitia gharama taifa kwa mambo yake kawa nani kikatiba? mikoani anaposomewa taarifa na wakuu wa mikoa ni kama nani? ili afanye nini? halafu mtu mzima unaleta hoja sijui ruzuku, slaa na mbowe vina uhusiano gani na hii mada? hata kama wewe ni shabiki wa ccm, tumia akili...
  20. G

    Kikwete: Walimu wenye digrii kufundisha Shule za Msingi

    hoja ina mantiki sana tu. kikwete kila siku anayaongea lazima yana mapungufu kibao. kinawauma nini kutajwa salma kikwete. kwani ana nini cha ziada zaidi ya cheti cha ualimu wa msingi? leo hii taifa linaharibu kodi nyingi sana kugharamia mambo ya huyu mama. ana cheo gani kikatiba? eti naye...
Back
Top Bottom