Search results

  1. G

    Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    Eiyer I wish ningeweza kuacha najaribu sana kumuomba Mungu anisaidie niachane na hii kitu maana inaumiza watu wengine nami inanidrain pesa. Siko vibaya kimaisha lakini ningekuwa mbali zaidi
  2. G

    Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    Ukweli wa mambo ni tamaa tu inayotusumbua na si kingine maana kama mimi me wangu ni mzuri sana na ana kila sifa ya kuwa mke na hata ukimpeleka katika wife material yupo. Lakini cha ajabu bado nawagonga sana nje na kiukweli ni wachache unakuta wanakuwa katika level yake au kumzidi.
  3. G

    Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa...

    Usitetee upumbavu hata kama una maslahi na huyo mtuhumiwa, do you think of victim of this unhuman act. Put yourself in her shoes and think of all this or would you have said the same had it been your sister?
  4. G

    TAMWA, TGNP, LRHC wamucharukia professor Juma Kapuya

    Ndugu yangu angalau yule mama Helen Kijo Bisimba,Ananilea Nkya na mama Akilimali lakini hawa waliobaki ni magumashi na longolongo tupu. Hivi badala ya kuwaita ili wapate maelezo kamili ya waathirika na kuona jinsi ya kuwasaidia wao wanatoa tamko?!!! Tamko litasaidia nini jamani badala ya msaada...
  5. G

    Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

    Hii ndio shida ya kuchukua watu hata ambao hawana maaadili kuwa viongozi wetu
  6. G

    "Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba

    Come on guys!!! Is he and are you real serious???????!!!! Then presidency is completely nothing in this country.
  7. G

    Wabunge CCM wawafunga goli CHADEMA, Sendeka amzidi kete Mnyika

    Hakika Mrisho Wa hawa majuha umefika,unawezaje kushabikia upumbavu Kama huu? Ole Sendeka na co wote watatuonyesha rangi zao halisi, it's just a mater of time
  8. G

    Wabunge CCM wawafunga goli CHADEMA, Sendeka amzidi kete Mnyika

    Hakika Mrisho Wa hawa majuha umefika,unawezaje kushabikia upumbavu Kama huu? Ole Sendeka na co wote watatuonyesha rangi zao halisi, it's just a mater of time
  9. G

    Dk Mwakyembe arejea nchini

    Mungu na ashukuriwe kwa kukurudisha nyumbani Dk
  10. G

    Posho za wabunge zapanda kimyakimya!

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,alichosema Zito ni sahihi kabisa kama unapewa msaada wa 20b unashangilia and at the same time you are paying your own mp's 28b then where is the common sense here?!!!! Why are our leaders like this? If to have a plant of LPG is going to cost us 35b,why...
  11. G

    Kizungumkuti cha ndoa!

    Majadaliano ndilo jambo la msingi zaidi lakini hii haiondoi lile hitaji la nani atakuwa na last say katika familia,hakuna penye watu wawili pakose kiongozi.
  12. G

    ''Kwani yeye ni robot?''

    Wadau hebu someni haya maneno kutoka kwenye makala ya msomaji raia ndio mtapata jibu kwamba hata wenzie wanamchukiliaje presidaa wetu!! Kutokana na hotuba hiyo ya Kikwete nilimsikia Rais mstaafu Mkapa akicheka kicheko cha kejeli na kusema ''nadhani hajaelewa maana ya Presidency'', kisha...
  13. G

    Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana

    Acha kutumia vidonge vya uzazi kama huwa unatumia maana vinatabia ya kusababisha hii hali ingawa si kwa wote na pia kitu cha msingi kukifahamu ni kama jamaa yako anaichukuliaje hii hali then tuendelee mbele coz wengine wanapenda wanawake wa dizaini yako na wengine akishaona hivyo harudi tena!!!
  14. G

    Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

    Wewe tumia akili zako mbona umekazania Nyerere unampenda sana eeh,kama muungano kuvunjika na uvunjike mbaki na visiwa vyenu na sisi tuanze moja na Tanganyika yetu pendwa
  15. G

    Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Acha hizo wewe hivi kati ya wazungu na waarabu ni nani wanaofanya kinyume cha maumbile zaidi? Usipende kugeneralize kwamba ukristo umeleta ushoga kwani waislam walikuwa hawafanyi hivyo? Suala hapa ni sisi kama taifa kujitegemea basi
  16. G

    Mgogoro Hazina, BoT, serikalini; hakuna malipo!

    Nzigo upo jiko lipi wewe? Hivi mnaona fahali gani kujisifia vitu vya uongo???? Ni kweli pesa imekuwa tatizo hivi sasa kiasi kwamba hata vocha ya laki tatu wanagoma kulipa!!! Halafu wewe unakuja hapa unatuletea ngonjera za kwamba upo jikoni,endeleeni kujidanganya lakini mwisho umefika tena ni...
  17. G

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Ngongo asubuhi ulikuwa unabisha kwamba Arusha hakuna mgomo je sasa unakubali kwamba kulikuwa na mgomo?
  18. G

    Arusha kumekucha

    Wana jamvi sisi wengine hatupo Arusha lakini tumesikia through sms kwenye kipindi cha Power Breakfast kuna mdau mmoja kutoka Arusha alituma sms akitaarifu ya kwamba usafiri ni shida ndani ya Arusha coz kuna mgomo wa vifod na Hando akaelezea kwamba vifod ni daladala sasa hapo changanya na za kwako!!
  19. G

    Kikwete anamchanganya nini Mengi?

    Sidhani kama haya ni kweli wa mbili ni wa mbili tu,sababu tuna mifano ya nchi kama Brazil hivi sasa zimekaa vizuri hata Rwanda sasa wanakimbia kuelekea kwenye mafanikio cha msingi ni kuamua na kuthubutu kufanya tu. Hawa wazungu zaidi ya kutunyonya hawana la maana si ulimsikia Membe alichokisema...
  20. G

    inflation, inflation, inflation

    Kwakweli hali ni mbaya sana mimi mwenyewe leo nilitaka kununua dola lakini sikuamini rate niliyoikuta kwenye maduka coz juzi tu ilikuwa somewhere around 1730!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hii maana yake hali itaendelea kuwa ngumu kwa masikini wa nchii hii kwasababu kila kitu kitazidi kupanda bei,please...
Back
Top Bottom