Search results

  1. N

    Hatimaye Zimoto kimeeleweka

    wadau,majina yashawekwa adharan,mwenye kutaka kuona atafute gazeti la uhuru la leo!Kila la kheri....
  2. N

    Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    Uhuru wadau,kila la kheri wakuu wa kaya!
  3. N

    Nafasi ya wafanyakazi wa ndani (House girls)

    Mkuu be open,waandikie salary ni ngapi pia ni mkoa gan? na fare endapo anatokea mkoa tofauti na uliopo!
  4. N

    Sajini na konstebo wa zimamoto updates

    duh! usaili uliisha 28/4/2014 hadi leo majina bado,kweli hii ndo CCM! Bora kurudi bush wadau!
  5. N

    Sajini na konstebo wa zimamoto updates

    Mkuu mtu yeyote anayepitia mafunzo ya JWTZ ni mjeda aswaaa,so ni mojwapo ya kitengo cha jeshi,na kwa intake zinazofata zote watu watakuwa wanatolewa jkt na c mtaani kama sasa
  6. N

    Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    sasa mpaka muda huu majina hayajatolewa,lin yatatoka mkuu?
  7. N

    Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    Sawa nguvu ya hoja,nauliza vipi kwa mwaka huu,bado hawajaitwa?
  8. N

    Sajini na konstebo wa zimamoto updates

    Habari wadau,jamani mwenye tetesi juu ya hiyo sector tajwa hapo juu,naomba anijuze ni lin watatoa majina
  9. N

    Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    walioitwa ni nafasi gan? tuliomba sajin na konstebo inakuwaje?
  10. N

    Waliopata barua zimamoto

    hahaha bwana kishindo,mi nasubilia ajira,bado npo mtaani insp. KISHINDO
  11. N

    Nafasi za kazi magereza 2014 lini?

    tupia hiyo link mdau
  12. N

    Zimamoto tayari

    Hahaaaaaaaaa
  13. N

    Zimamoto tayari

    ndo gazet wanalotumia makada,raia wawe,wapole na wavumilivu but next week yaweza kupakuliwa,wa kula wale na wa kutapika watapike
  14. N

    Zimamoto tayari

    j4 tafuta gazeti la uhuru
  15. N

    Waliopata barua zimamoto

    jamaa umepania vilivyo,haya kaka kaz njema
  16. N

    Sajini na Konstebo wa Zimamoto na Uokoaji

    inasemekana washamaliza kusort sasa kinachofanya wakae na majna ya raia hakijulikani,nisaidien wadau
  17. N

    Sajini na Konstebo wa Zimamoto na Uokoaji

    wanatugadisha sana,au ndo kutuchinjia baharini? kwan yatatoka lini
Back
Top Bottom