Umenikumbusha mbali. Make ile harambee ilileta patashika kwasababu alialikwa Rostam ikawa nongwa kwamba yule alikuwa fisadi ikapelekea mchungaji aliyekuwepo kuondolewa kama sijakosea. So ujenzi wa kanisa nisawasawa na mti kandokando ya mto. Majani ya huo mto hauishi ukijani.
Mvua ingekuwa hainyeshi, wangesingizia ukame. Sasa ndo tutajua hatujui watu tuliowakabidhi majukumu kwamba hawana uwezo wa kufanya wajibu wao.
Hawajui vipaumbele kama taifa wao wako kwenye ziara ulaya na kununua mashangingi. Kiufupi wanaishi maisha ya anasa huku walipakodi wakiishi kama...
Pamoja na video nilizorusha humu pia majirani wote wanashangaa sana taasisi kama kanisa kufanya kitendo hicho na sio mara ya kwanza. Viongozi wa mtaa walishapewa taarifa hizo mara nyingi wanajua, hata maeneo yanakoelekezewa huo uchafu wanajua na wanalaani sana. Wewe unayeona kutoa ushahidi...
Sure. Ndo maana tumeamua kupiga yowe ili tupate support ya jamii ili wakemee hiyo tabia.
Inasikitisha kwamba hii taasisi inakwenda kinyume na jamii inavyotarania iwe. Social responsibility = 0
Dini ndo maana kila mtu aliyejipanga kwa karata zake anaweza kusema ya kwake ili mradi anakusanya sadaka na maisha yanaenda tofauti nawanasayansi.
Mwanasayansi anafanya kitu kwa facts ndo maana anafanya experiments na kupata results then an implement. Akikosea anafuatilia mpaka akifanikiwa...
We ukipita barabarani huwezi ona. Nikwamba hilo jenereta liko juu ya karo ya maji taka, mpira ule mgumu umezama shimoni unafyonza uchafu, mpira wa upande mwingine unayasukuma kuelekea upande wa bondeni ambapo ndo majanga yanakumba waaeneo hayo ya kusini mashariki mwa hilo eneo.
Taarifa wanazo, tena mwanajamii mmoja alienda kakuta na mhusika akampeleka nyumbani kumwonesha maji yalivyoingia mpaka ndani ya nyumba yake, alimwambia hivi" na hapo bado hayajaingia sawasawa kwasababu miradi mikubwa inakuja yataingia sana"
Nilisikia siku nyingi kwamba Kanisa la KKKT Kimara Korogwe tunaloliamini kwa mambo ya kiroho, kijamii na ustawi bora ukiacha ile ahadi ya kutuandaa kwa ajili ya ulimwengu ujao kwamba unatiririsha maji machafu (kinyesi) kwa majirani zao.
Sikuamini macho yangu nilivyo shuhudia kwa macho yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.