Inalipa sana kujisomea kaka ndio maana unakuwa tofauti kila Mara kwa kujiongeza na kujipambanua kimaarifa zaidi,wengine mbwbwe Tu,binafsi nafuata nyayo
Binafsi napongeza uwepo wa chata au nembo ya Taifa letu kwa maana ya ndege hizi,pia sikubaliani kuwa wananchi eti wamesusa,ninacho amini ni ugeni wa ndege na safari hizi ingawa pia hali ya watu kulalamika kukosa mzunguko wa pesa pia ni janga.
Tushukuru kupata ndege zetu wenyewe kama Taifa na...
Nionavyo Mimi suala la uchumi na Uzalendo ndio moja ya changamoto kubwa, nchini kwetu,sio kwenye Vitunguu tu na samaki,na tatizo linaanzia juu matibabu,thamani za majumbani na ofisini,mavazi hata safari za nje vs vijijini mwetu.
Ili uonekane mtamu na bora lazima uendane na Kasi ya...
Kampuni inavaa uhalisia na kuishi hivyo kupata uwezo wa kushitaki ama kushitakiwa(legal entity)
Uhakika wa kuaminiwa maana ipo kisheria.
Uwezo wa kuendesha mambo yake kwa kufuata Sheria,kanuni na taratibu.
Uwezo wa kulipa maduhuri mbalimbali ya serikali.
Uwezo wa kuheshimika pia nk
Dah,inatia simanzi sana,pengine angepoteza maisha bila kupata usaidizi wa kitabibu wangemchukulia hatua Dr hiyo.
Kwetu wengi wanapenda kuzalishwa na Dr wa kiume
Napata shaka sana juu ya weredi wetu juu ya ajili za barabarani. Binafsi nimeiona viongozi pamoja na kuendeshwa na Madereva professional nao wanapata ajali,polisi wenyewe wanao simamia Sheria kwa mikogo yote nao Mara nyingi wanapata ajali na kudhurika.
Suala la kupunguza au kuondoa ajali kwa...
Nakushukuru sana mtoa mada,maana hapa ndipo tunapokosea ktk kuwaandaa watoto wetu,malezi hayashabihiani na uhalisia wa maisha yetu na ndio maana tumezua Taifa linalo endea kwa Kazi mmomonyoko wa maadili.
Watoto wameachwa waishi,waamue,waenende wanavyotaka.
Wazazi hatuna muda nao kabisa kutokana...
Tumekuwa Taifa lisilo makini ktk usimamizi wa mambo yetu ya msingi kwa miaka Mingi sana.
Suala la uzalendo ktk natural resources ni changamoto Kubwa maana hata Tanzanite inasomeka kutoka Jirani na taasisi zetu zimelala fofofo.
Inasikitisha sana tuchukue hatua kuwa wazalendo badala ya kuwa na...
Wengi wetu walizoea kuishi kwa maigizo na umma kuwapigia makofi matokeo yake tumezaa matabaka na kuondoka uzalendo.
Ukiwa mkweli na kusimamia Sheria,kanuni na taratibu Jamii inakuona mnoko,mzushi na usiye faa ila sasa mshua kaamua kuanzia juu kwa juu huku chini SS twajianga Mwenyewe,mnao simamia...
Binafsi,naona hakuna uhalisia wa kipato vs matumizi Na hali halisi ya kupanda gharama za maisha nchini.
Unafuu wa maisha hauja onekana kabisa Na wananchi wengi wameguswa Na ugumu wa maisha,inahitaji muda,busara Na kujituma kufikia malengo Na watu kujiongeza ili kuweza kujikimu Na maisha yasonge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.