Search results

  1. D

    Mzumbe university vyeti vyetu viko wapi?

    Hawa. jamaa wanaboa sana na wanajibu watu kisiasa kuhusu vyeti. .Siku moja nilimpigia associate Dean of SOPAM kuhusu vyeti. akanijibu. unaniuliza vyeti kwani mi ndo chuo'' je hii inaashiria nini? kwa cc watu wa PA tunaweza kusema kwamba. this signifies poor accountability and coordination...
  2. D

    Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

    tuache ushabiki wa imani zetu. hii swala ni la MSI GI sana. mada hii INA mashiko. kujistiri co uvae kininja. iliwahi kutokea kwenye tawi moja LA NBC MUSOMA. majamaa aliteka bank yakiwa yemevaa kininja
  3. D

    Treni za umeme na reli za juu kwa juu Dar es salaam..Shuka nayo

    Siasa bwana! Any way tusubiri utekelezazi wa mradi huu. Ila ingekuwa vizuri tukajua mradi huu utaanza lini na wahisani kutoka nchi zipi na wataufanya kwa muda gani?
  4. D

    Standing Orders For the Public Service, 2009!

    Mtu mwenye akiri akikwambia jambo la kipumbavu na wewe ukatambua kuwa ni la kipumbavu na ukalikubali hakika atakudharau sana (Mwl Julius Kambarage Nyerere)
  5. D

    IPTL saga: Siri Imevuja, Mwigulu na Zitto Kabwe Kaa la Moto... Ndio waliolipua!

    Ninachokiona hapa ni watu kujisafisha kisiasa. Kuna sia lukuki kuhusu hao wawili. Wananchi tunataka kuona utekelezaji. Kamati au Tume huru iundwe kama alivyopendekeza Mh. D. Kafulila kwa ajiri ya kutauta uumbuzi wa swala hili mara moja.
  6. D

Back
Top Bottom