Search results

  1. Amanda

    Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

    Alivyoondoka kwenda kwenye matibabu ukimuona? Au ulipewa taarifa tu?
  2. Amanda

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Hajaenda mwenyewe, usipotoshe, ukweli tuukubali mengine baadae.
  3. Amanda

    Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Umemsikia kwa macho??? Acha utani
  4. Amanda

    IMEKANUSHWA: Wassira msemaji wa Chama, Peter Maduki mweka hazina, Kinana kabaki

    Hivi Ally zahor ni wa bara au Zanzibar?
  5. Amanda

    Inaitwaje hii?

    Enkyakya/engale :A S-confused1:
  6. Amanda

    Madiwani waliotimuliwa CCM wadai kuwa wako tayari kuhamia CHADEMA

    Hvi hao madiwani hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya siasa???Hii inazihirisha kuwa ilikuwa ni halali ya CCM Kagera kuwatimua.
  7. Amanda

    Kituko Bukoba-Kanisa la kirokole lawazuia maharusi kwenda kijijini kwao kwamba kutakuwa na pombe!

    hayo mengine ni sawa ila tu sahihisho, MC Baraka ndiye mmiliki wa blog ya bukobawadau si DJ Baraka wa jamii forum ambaye kwa akili zake alitaka kumharibia jina na kumchafua MC Baraka kwa kutumia lake kuleta habari mbali mbali za uongo hasa za watu wa Bukoba. Aliposhtukiwa hapa akabadili jina na...
  8. Amanda

    Lulu:Na mimi Nina Kampuni

    Nafikiri mleta mada hakuelewa alichokisema Lulu or ana maana nyingine, coz mm nilangalia show na alichosema yeye ni kwamba kuna kampuni anayofanya nayo kazi , so anafanyakaza under management ya hiyo kampuni na ndio chanzo cha mabadiliko na mafanikio aliyonayo kwa sasa.
  9. Amanda

    Baada ya Obama kuondoka turudi kwenye issue ya Pinda

    Kwa nchi hii huwa haturudi nyuma, hiyo imepita tuangalie yanayokuja.
  10. Amanda

    Kituko Bukoba-Kanisa la kirokole lawazuia maharusi kwenda kijijini kwao kwamba kutakuwa na pombe!

    Wewe Kaka ni muongo sana, ndio maana unapenda kutumia majina ya watu, ulikuja hapa na bukoba wadau mwenye jina akakuwakia ukaja na DJ Baraka, kwa kuamini ndilo jina na mmiliki wa bukobawadau, pole ni kusaidie tu jamaa anaitwa Mc Baraka. Back to the topic: Inno Hakwenda kijijini kutokana na...
  11. Amanda

    Bungeni: Mdee aishukia serikali!

    Ahaa nimeipenda hii
  12. Amanda

    Fastjet na nauli ya 75,000 Tsh (Mwanza-Dar)

    Nivea mm nilishapata ticket kwa bei hiyo but nashindwa kuiattach hapa naendelea kujaribu ila ili upata kwa bei hiyo ni lazima kukata ticket miezi miwili kabla ya safari.
  13. Amanda

    My phots

    Hii Tume ya Pinda inachunguza nini jamani, naomba kujua!!!!! Mwalimu aliyefundisha, Aliyesahihisha au baraza la mitihani lilotangaza???
  14. Amanda

    Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    Umesahau kuwa hapa ndio nyumbani kwao ulikomkuta???? sasa atoke aende wapi???? acha masharti yasokuwa na maana. Endelea kutoa comment zako mwana kama ni ndoa utapata tu maana hupangwa na mungu.
  15. Amanda

    Ninampenda sana Diamond Platnumz kwa sababu......

    Huyu kijana kweli ni mzuri na hata ukienda kwa show zake wala hujutii kama hawa wengine, anakuhamasisha kuendelea kumtizama mwanzo wa show hadi mwisho. Nampenda pia.
  16. Amanda

    Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

    Ahaa usikate tamaa just see how u can assist to get out of these problems
  17. Amanda

    Mavazi Ya Nguvu Ya Ofisini Kwa Ladies

    Allien Bwana!!!!!!!!!!!!!!!! hayo mavazi yanapatikana wapi???
Back
Top Bottom